Draw na vipigo kwa mkapa na uhuru vitazoeleka, Ndumba mama ya Simba ilifukuliwa kipindi cha marekebisho ya uwanja

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
1700926403396.png

Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa kumwaga dawa kabla ya mechi, n.k.

kilichofanyika kipindi cha marekebisho wataalam walifika hapo kuitoa, haikua shughuli nyepesi na ilitumia muda mrefu, baada ya kuitoa ndumba ndio hiki tunachoendelea kukiona, Network zimekata !!

  • Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare
  • kwenda uwanja wa karibu wa uhuru haikusaidia , Namungo wakadraw
  • Yanga ikajipigia zake hamsa
  • Leo tena wamedraw na Asec Mimosa
Ndumba iliyofukuliwa ni pigo kubwa sana kwa simba, Bila ndumba mama Simba itapata taabu sana, mikosi ya wachezaji kuumia, wachezaji kuwa wazito, n.k. havikwepeki, Leo mfano mdogo kina Mzamiru kaingia kwenye mfumo.

TUTAONA MENGI SANA
 
Wewe ni chawa wa viongozi wa Simba,mimi nimekustukia sana.

Unaongoza kwa propaganda za kipumbavu kama hizi huku mkipiga pesa za timu na hamtaki kubadilika

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi.
View attachment 2824921

Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa kumwaga dawa kabla ya mechi, n.k.

kilichofanyika kipindi cha marekebisho wataalam walifika hapo kuitoa, haikua shughuli nyepesi na ilitumia muda mrefu, baada ya kuitoa ndumba ndio hiki tunachoendelea kukiona, Network zimekata !!

  • Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare
  • kwenda uwanja wa karibu wa uhuru haikusaidia , Namungo wakadraw
  • Yanga ikajipigia zake hamsa
  • Leo tena wamedraw na Asec Mimosa

Ndumba iliyofukuliwa ni pigo kubwa sana kwa simba, Bila ndumba mama Simba itapata taabu sana, mikosi ya wachezaji kuumia, wachezaji kuwa wazito, n.k. havikwepeki, Leo mfano mdogo kina Mzamiru kaingia kwenye mfumo.

TUTAONA MENGI SANA
Kumbe ndio maana simba mechi ya derby walipita mlango usio rasmi wakapigwa faini million 5.
 
Back
Top Bottom