utumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania. Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kama ndoa zenyewe ndiyo hii wakuu aisee naungana na watu wa kataa ndoa,ndoa ni utumwa

    Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa poa sana Nilihisi kwenye ndoa nitapata peace of mind yaaani ndiyo kwanza napata depression na...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Majamaa walioingilia Mitikasi ya watu na hawakuachwa Salama

    Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii biashara ya utumwa ukiitafakari inaumiza sana: Waafrika tulifanywa kama bidhaa!

    Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana! Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  6. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Walitufanyia utumwa baadaye wakatufanyia ukoloni na sasa wanatuwekeza! Malengo yao ni yale yale, tuwe makini

    Bara la Afrika ndiyo bara tajiri sana kuliko mabara yote duniani, kuanzia kwenye rasilimali watu (human resources) hadi kwenye rasilimali asili (natural resources). Ni bara kubwa lenye majitu yenye nguvu yanayo stahimili dhoruba mbali mbali kuliko watu wengine duniani. Ndiyo maana utaona...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  8. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

    Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
  9. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unyenyekevu Sio Utumwa, Unyenyekevu ni Busara katika Uongozi; Msidharau Sauti za Watu, Msidharau Vilio vya Watu, Wasikilizeni

    UNYENYEKEVU SIO UTUMWA, UNYENYEKEVU NI BUSARA KATIKA UONGOZI; MSIZARAU SAUTI ZA WATU, MSIZARAU VILIO VYA WATU, WASIKILIZENI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Katika makala hii tutaangazia kauli ya ndugu G. Lema (2023 Jun 19), ambaye alisema "Unyenyekevu sio utumwa, unyenyekevu ni busara katika...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI? Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  12. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

    Imagine sisi wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume kama kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk, na kitandani mnatufanyia Utumwa mkubwa sana, hamtupi haki yetu sawa. Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho, big NO! Hata vitabu vya dini havijataja sehemu yoyote...
  13. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hivi huu utumwa wa fikra Hadi lini?

    Kwanza namba ieleweke kwamba Mimi Ni mkristo haswaa na ninaipenda Sana Imani hii ya Mungu mmoja. Ila Kuna wakati napata kugugumizi juu hizi dini zetu na mapokeo yake mfano na hii picha hapa chini siyo kwamba naidhalilisha dini au Imani ya muhusika hapana Ila wasiwasi wangu Ni juu ya Yale mapokeo...
  14. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa mmeathiriwa na utumwa - mtatumika sana

    Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa. (a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha...
  15. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Ni utumwa wa kifikra

    Ndio! Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kudhani kwamba kumsomesha mtoto ndio jukumu lako kubwa . Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kusema kwamba ninakusomesha mali utajitafutia. Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kumwambie mtoto jitafutie kwani mimi nilitafutiwa na baba yangu? Ni utumwa wa kifikra kwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa

    Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu? Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kufanya nini. Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea , Kujiajiri ni maamuzi.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

    Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja. Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi. Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa

    Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
  20. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Mahari ni biashara ya utumwa. Kwanini dunia ipo kimya?

    Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”  Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa dunia mpaka kukomaa wa malipo ya kifedha/mali kwa mwanaume/mwanamke ili kuweza kukidhi vigezo vya kuoa...
Back
Top Bottom