TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 995
- 1,508
Ndio! Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kudhani kwamba kumsomesha mtoto ndio jukumu lako kubwa .
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kusema kwamba ninakusomesha mali utajitafutia.
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kumwambie mtoto jitafutie kwani mimi nilitafutiwa na baba yangu?
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kuamini kwamba mtoto kupotia shuruba za kimaisa ndio kuimarika
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kudhani kwamba mtoto akimaliza chuo basi ametoboa
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kushindwa kutengeneza misingi bora ya kiuchumi kwa mwanao.
Ni utumwa wa kifikra kwa mzazi kutaka mtoto aishi maisha ya msoto eti kisa wewe ulipitia maisha hayo.
Ndio ni utumwa wa kifikra..