utumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bitebo7

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Kwema humu? Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...
  2. Dizasta Vina

    JamiiForums Tanzania SoC01 Waraka wa Wanyama kwa Binadamu

    Salamu waja. Waraka huu utumike kama mashitaka kwa binadamu kwa kushindwa kuishi kwenye daraja la ustaarabu wake, kushindwa kuwajibika na kutumia vyema vipawa alivyozawadiwa na asili. Namtuhumu binadamu kwa kuwa kiumbe mbaya sio tu kwa wanyama wengine na mazingira, bali hata kwa binadamu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tumeongea kuhusu tozo hadi makoo yamekauka lakini hakuna aliyetusikiliza

    Kila ukiitazama Tanzania na uongozi wake unagundua kabisa kwamba wazi; Nchi hii haina muda mrefu nayo itajisajili kuwa katika nchi zenye Vita za ndani kwa ndani, wao kwa wao Kama ilivyo kwa nchi zingine ndani ya afrika. Zile tamaa zilizokuwa zinawakuta washikilia utumwa kipindi wakati wa...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Agosti 1, 1838 biashara ya utumwa ilihitimishwa rasmi katika nchi za Jumuiya ya Madola

    It’s nearing midnight, and in a few moments it will finally be August 1, 1838. By law, this will mark the end of slavery in the British Empire. In Jamaica - a British sugar growing colony - a Baptist congregation has been waiting expectantly all night. The clock ticks down to midnight, and in...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Raisi wa Marekani Ametia Saini Sheria mpya ya kuwa na Siku ya kusherehekea Kumalizika kwa Utumwa Marekani

    Juneteenth National Independence Day itakuwa inaadhimishwa Juni 19 ya kila mwaka. Ni siku katika mwaka 1865 wakati wanajeshi wa muungano walipoliarifu kundi la watumwa weusi kwenye jimbo la Texas juu ya uhuru wao miaka miwili na nusu baada ya Rais Abraham Lincoln kutia saini tangazo la ukombozi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu mbinu zilizotumika kuwadhibiti watumwa kipindi cha utumwa na jinsi zinavyofanya kazi mpaka sasa

    FAHAMU MBINU ZILIZOTUMIKA KUWADHIBITI WATUMWA KIPINDI CHA UTUMWA NA NAMNA ZINAVYOFANYA KAZI SASA Kwa kuanza kwanza inabidi tufahamu biashara ya utumwa ni kitu gani? Biashara ya utumwa ilikuwa ni biashara ambayo ilihusisha kukamata, kuuza na kununua watu na kuwatumia kama watumwa. Biashara...
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

    Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje? Watumwa ndani ya...
Back
Top Bottom