utumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki

    Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni Waafrika waliuzwa kama njugu Fedha walizouzwa Waafrika...
  2. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Bendera, utumwa wa mfumo

    Watanzania wengi wanapenda kuamini kwamba vyama vya siasa ndio injini za maendeleo: CCM, CHADEMA, ACT-Wazalendo, CUF, TLP, ADA-orodha ndefu, matumaini machache. Wanapenda kufikiri kwamba mabadiliko yatatoka kwenye sanduku la kura, kana kwamba sanduku limebeba miujiza, sio majina ya watu...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini miungu ya kigeni allah na yehova inapenda kuabudiwa hata isipofanya lolote au kutatua tatizo au ni utumwa wale waliozileta kutunyonya?

    Wangapi wameomba Mungu wasipate kitu? Wangapi hupatwa na woga wanapoambiwa hasira na visasi vya Mungu/ Wangapi wameibiwa hata kuharibiwa maisha kwa jina la Mungu?> Wangapi wana wasi wasi hadi kuhoji kama mimi? Wangapi wanaogopa kuhoji? Maswali ni mengi kuliko majibu. Kichwa cha habari...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

    Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Utumwa unavyoendelea kutuumiza waafrika

    WAAFRIKA kiujumla kinachotudumaza ni UTUMWA ambao bado umebaki kwenye fikra zetu kuanzia nyanja za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Na kama taifa la Tanganyika tunahitaji ukombozi wa kifikra dhidi ya nini mahitaji yetu ya msingi, malengo yetu, na miongozo yetu kuyafikia hayo mahitaji...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Maisha yote ni utumwa, tangu unazaliwa

    Darasa la 1-7 una amka saa 1 asubuhi Form 1-4 una amka saa 1 asubuhi Form 5-6 una amka saa 1 asubuhi Chuo kikuu una amka saa 1 asubuhi Kazini una amka saa 1 asubuhi Huu ni mzunguko wa maisha yako yote hadi uzeeni. Ni UTUMWA wa hali ya juu sana.
  7. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Mungu aliyesubiri wanasayansi wagundue meli ndipo tumjue

    Walisema sisi ni washamba. Tukaacha ngozi zetu, tukavaa suti. Tukaacha ngoma, tukavaa saxophone. Tukaacha majina yetu, tukaitwa Yohana wa Pili. Ajabu leo Wamasai, Wahamer, na BaTwa waliobaki washamba ndiyo kivutio cha dunia. Mungu mmoja alitoka Asia, akapita Ulaya, akaruka Mediteranea, akaruka...
  8. cairnegie

    JamiiForums Tanzania Huu ni utumwa wa kifikra .

    Huenda hawa walionzisha hizi siku za amani , sheria , familia , baba ,mama , mwanamke ,mtoto , wapendanao ... wanatuona mafala kwa vile tunavozishobokea hizo sikukuu . Sababu kuu ni kua maisha yao yako kinyume kabisa na hizo fikra , HUU NDIO NI UTUMWA WA KIFIKRA 😡 ! Hata ikianzishwa siku kuu ya...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kutoka kwenye utumwa na laana. Simplest

    Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% . Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa . Dalili za mtu aliyefungwa kiroho; 1. Kufanya kazi...
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ukiishi kama mfalme ujanani tegemea utumwa uzeeni

    Mambo ni mawili tu, Uishi kama mfalme ujanani uje kuishi kama mtumwa uzeeni Au Uishi kama mtumwa ujanani uje kuishi kama mfalme uzeeni. Pia kumbuka maisha ni kama GAME LA AVIATOR Ishi kwa kuyavizia ukijisahu kifo kinakupitia bila kula pesa yako iliyo BANK. Pia unaeza...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Umefika Wakati SHIKAMOO na MARAHABA Ziondolewe Kwenye Matumizi Yetu ya Kiswahili Maana Zinadumisha UTUMWA...

    Katika jamii nyingi zinazozungumza Kiswahili, maneno "shikamoo" na "marahaba" yamekuwa sehemu ya mawasiliano ya kila siku, hasa kati ya vijana na wazee. Lakini ni muhimu tutafakari upya historia na maana halisi ya maneno haya. Je, ni heshima au ni mabaki ya utamaduni wa utumwa? Je, matumizi yake...
  12. Elly official

    JamiiForums Tanzania Mateso ya mwafrika chini ya dunia: Uongo, utumwa mpya, na upotevu wa utambulisho

    Utangulizi Kuletwa kwa dini barani Afrika haukuwa tukio la kiroho, bali ni sehemu ya mpango mpana wa utawala wa kikoloni na kiakili. Wamisionari walikuja sambamba na wakoloni – wakitumia Biblia mkononi wa kushoto na bunduki mkononi wa kulia. Wakaua utamaduni wa Mwafrika, wakaweka hofu...
  13. Elly official

    JamiiForums Tanzania Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika

    Makala: Dini za Kigeni, Utumwa wa Kifikra, na Uhalisia wa Dini za Asili Afrika Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya Utangulizi Historia ya Afrika haiwezi kueleweka kwa undani bila kutazama nafasi ya dini katika harakati za ukoloni, biashara ya utumwa, na mabadiliko ya kijamii. Katika karne ya 15...
  14. The redemeer

    JamiiForums Tanzania waafrika tulaumiwe kufanikisha biashara ya utumwa

    Biashara ya utumwa imeacha makovu Africa na kuacha historia mbaya juu udhalilishaji wa utu wa mwafrika. Ukifanya tafiti utagundua ya kwamba ni waafrika wenzetu ndio waliofanikisha biashara hii kwa kuwasaidia wazungu na waarabu kupata watu baada ya waafrika kuwauza ndugu zao pia mateka wa vita...
  15. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni Misukule ya Wanawake. Wana utumwa wa kifikra.

    Hamjamboni! Kuna Misukule ya aina nyingi. 1. Kuna Misukule ya Imani Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na Manabii WA mchongo. Wengine hupeleka kwa Waganga. Ukitaka ujue mtu ni Msukule utampima kwenye Mzani...
  17. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za s lol slave trade, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok

    Marekani ni Taifa lenye dhuluma ya Kibiashara tangu enzi za Biashara ya utumwa, haikuishia hapo bado linaendeleza dhuluma hiyo kwa TikTok Hili Taifa la Marekani linanuka laana ya dhuluma waliotendewa mababu zetu kipindi cha biashara ya utumwa Taifa la Marekani limekuwa ni Taifa lisilotaka...
  18. wasumu

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mahari ni utumwa tufunguke macho Waafrika

    Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
  19. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Tunatakiwa tujikomboe na utumwa wa pesa

    Habari wakuu. Kwenye Jamii yetu watu wengi ni watumwa wa pesa yaani unakuta mtu anafanya kazi kwa bidii sana hadi anakosa muda wa kukaa na familia yake yote sababu ya pesa. Sisemi ya kwamba tusifanye kazi kwa bidii, la hasha. Ila tunatakiwa kuwa huru kufanya tutakacho maishani bila kuamriwa na...
  20. Shanily

    JamiiForums Tanzania Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

    Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp. Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni. Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni...
Back
Top Bottom