Kama Yesu Kristo alikufa Msalabani ili tukombowele katika utumwa wa Dhambi mbona bado dhambi zinazidi kuongezeka?

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,020
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.

Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.

Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio Yesu Halisi
 
Dhambi ni nini?

Kwenda kinyume na mzungu ndio dhambi. Mfano, mzungu hataki tuoe wake wengi. Nini ubaya wa kuoa wake wengi? Dhambi iko wapi hapo?
Mzungu anataka tuwe mashoga, eti ni haki ya wanadamu, aseeeh.
 
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.

Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.

Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio Yesu Halisi
Mtu asiyeamini uwepo wa Mungu aliwahi kunipa changamoto kwenye kipindi cha televisheni. "Damu ya Yesu imekuwepo kwa miaka 2,000," alisema, "na kama kungekuwa na nguvu yoyote ndani yake kama unavyodai, ulimwengu usingekuwa katika hali ya uovu kama hii."

Nikamjibu, "Ndugu, siku hizi pia kuna sabuni karibu kila sehemu, lakini watu wengi bado ni wachafu. Sabuni haimfanyi mtu kuwa safi kwa kuwa karibu, hata kama anafanya kazi katika kiwanda cha sabuni - lakini jioshe nayo.

Tumia damu ya Yesu kwa maisha yako ya dhambi na utajiunga na mamia ya mamilioni ya watu wanaoimba na kusema 'Kuna nguvu, nguvu, nguvu ya ajabu katika damu ya Mwanakondoo." Mungu akubariki.

Marehemu REINHARD BONNKE
 
Mkuu ni swali zuri, ila jiulize swali dogo, wewe kama mzazi unajitoa kufanya kazi ili familia na wewe uie, je ulishawahi kumaliza njaa?

kwa wote wenye mwili na roho, ukombozi unakuja kwa juhudi yako, kwa maana utahukumiwa kwa kadiri ya matendo yako.

Ukombozi hauji kwa kusali sana au kukesha makanisani wakati unafanya matendo mabaya. Matendo yako na si kitu kingine
 
Lakink kumbuka alimtoa mwanaye wa pekee hadi kufa
 
Subiri utakipata unachokitafuta
Nawe ni Homo Sapiens au lile kundi la Chimpanzee kama huyu
Screenshot_2023-01-08-21-00-53-92_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.

Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.

Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio Yesu Halisi
Kwanini kila juhudi za kutibu magonjwa (tiba na dawa), tahadhari za barabarani na elimu zipo kitambo sana kunusuru uhai wa Binadamu lakini bado haizuii Watu kuumwa, kupata ajali au kufa?
 
Back
Top Bottom