utu

Utu, later worshipped by the East Semitic Akkadian-speaking Babylonians as Shamash, was the ancient Mesopotamian sun god, god of justice, morality, and truth, and the twin of the Mesopotamian goddess Inanna (Ishtar in the Assyrio-Babylonian language), the Queen of Heaven. His main temples were in the cities of Sippar and Larsa. He was believed to ride through the heavens in his sun chariot and see all things that happened in the day. He was the enforcer of divine justice and was thought to aid those in distress. According to Sumerian mythology, he helped protect Dumuzid when the galla demons tried to drag him to the Underworld and he appeared to the hero Ziusudra after the Great Flood. In the Epic of Gilgamesh, he helps Gilgamesh defeat the ogre Humbaba.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Kigoto Kirumba, kielelezo cha utu, upendo, urafiki na haki za binadamu ndani ya Jeshi la Polisi

    Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini. Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Utu

    1. Watu watakuheshimu kulingana na jinsi unavyojiheshimu, unavyozungumza na watu na jinsi unavyowatendea watu walio karibu nawe kwa heshima na nguvu nzuri. 2. Hakuna kiasi cha rushwa kinachoweza kufanya watu wakupende ikiwa wewe ni mtu mbaya. 3. Tabia njema huwavuta watu kwako, wakati tabia...
  3. JamiiForums Tanzania Changamoto za kuingia utu uzima nimeanza kukabiliana nazo

    CHANGAMOTO ZA KUINGIA UTU UZIMA NIMEANZA KUKABILIANA NAZO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nikiwa bado nipo kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa na kuingia katika utu uzima, hata masaa 24 hayajaisha nimeanza kupata joto la jiwe. Nahisi moyo unapanuka, nahisi kichwa kinapasuka, nahisi pua...
  4. JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Habari wanajukwaa, Heri ya Kwaresma kwa ndugu zangu wakristo. Ramadham Kareem kwa ndugu zangu waislam. Kama ilivyo kwa wengi, katika harakati za upambanaji unajikuta una team up na wadau kadhaa katika kujaribu kuona ni namna gani mnaweza mkayafikia malengo kwa ukubwa, haraka na unafuu. BAsi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

    Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza. Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alijifunza wapi kuvumilia wanaomkosoa na kutweza utu wake? Uvumilivu wake una baraka kwa Taifa au aachana nao?

    Hayati Magufuli alikuwa ni mwafrika tena mwenye mfumo dume. Alikuwa baba ambaye amekuzwa katika kusema ukweli na kushinikiza kutendeka kila anachotaka yeye. Alikuwa mzazi asiyependa kukosolewa na kila aliye nyanyuka kumkosoa alichapwa na kuambiwa acha utovu wa nidhamu. Tuliokulia kwenye familia...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Angalia jinsi huyu askari alivyokosa utu

    Kuna baadhi ya maaskari ni miyeyusho, yani ameshindwa kutumia busara kuwaambia waondoke kweli? SIJUI NI NCHI GANI HII.
  9. JamiiForums Tanzania Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ni matokeo ya viongozi waliokosa utu na hekima

    Mmeshindaje wanaJF wenzangu? Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
  10. JamiiForums Tanzania Shingi 200 leo kidogo inivue utu

    Wataalam, Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k).... , Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji. Ile nashuka nkadai chenji akasema eti...
  11. JamiiForums Tanzania Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo anatamani madaraka hata kama ni dhuluma kwake; yeye ushindi wowote unaompa kula ni sahihi

    Nimemsikiliza Prof Kitila Mkumbo , kwanza napingana na wanaoamini kila Prof ana akili. Baadhi wana uwezo wa kufaulu mitihani ya darasani aidha kwa kukariri au kubahatisha ila siyo akili. Moja ya takwa la mtu mwenye mwenye akili hapa Duniani ni kuhakikisha akili zake zimetumika kutatua changamoto...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kikokotoo cha wastaafu: Serikali na CCM muwe na haya. Nanyi wabunge na bunge letu oneni aibu na muwe na utu

    Kabla sijasema lolote kila mmoja asome huu ujumbe wa mstaafu mmoja wa jeshi la polisi akigugumilia maumivu ya kikokotoo alioutuma kwa aliyekuwa mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime vijijini (CHADEMA) ndugu John Heche na kuuposti Instagram page yake... Mimi umeniumiza sana na nimeamua kuuleta...
  16. JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Nape atambue nafasi yake ni kipimo cha utu na utimamu wa akili hasa kiutendaji

    Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
  18. JamiiForums Tanzania Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

    Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa. Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani...
  19. JamiiForums Tanzania Afrika iwafundishe Mashariki ya Kati utu, waachane na miungu yao ya uharibifu

    Kwa hali inavyoendelea huko Mashariki ya Kati hata Ukraine, kuna kitu kinakosekana. Nadhani wenzetu kuanzia Wazungu, Waarabu na Wahindi wana kasoro moja. Hawana utu bali ubaguzi, ubinafsi, ufahari, na ukatili. Rejea mfano, Wazungu walivyotutawala, kutuibia, na kutupeleka utuwani au...
  20. JamiiForums Tanzania Mjadala kupinga adhabu ya kifo nchini. TLS yajali utu, yaonesha njia. Adhabu hii ifutwe

    Wanabodi, https://www.youtube.com/live/clOESBBmMmI?si=WZKqn4KF5vTxrtGR Leo Tarehe 10 October ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Adhabu ya Kifo. Niko hapa jengo la Wakili House kuwaletea live mjadala kuipinga adhabu ya kifo nchini, ulioandaliwa na Chama cha Mawakili Tanganyika, TLS. Kiukweli TLS...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…