Pamoja na huo utu uzima wako, ni kitu gani bado unakiogopa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni kitu gani unakiogopa tangu utotoni umeshindwa kuacha kukiogopa

Najua kuna wengine mpaka wanafaika 30 bado wanaogopa sindano (manesi wana siri nyingi), siwezi kuwacheka maana tunatofautiana tu vitu vya kuogopa.

Binafsi huyu mdudu wa kuitwa nyigu akiingia chumba nilichomo huwa nakosa amani kabisa kila muda naweweseka siwezi kutulia hata kidogo, ni miaka mingi sana imepita tangu nikiwa huyu mdudu anipe somo na nikiri nilimchoza lakini hii kumbukumbu nimeshindwa kuifuta kabisa

1697647257397.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom