utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. Kifo cha Tabibu Dkt. Buberwa wa Herbal Products utata mtupu

    Wadau. Nafikiri mnamkumbuka huyu tatibu aliyekuwa maarufu Jijijini Dar Es salaam hasa miaka ya 2010 hadi 2017 . Huyu mwamba amefariki dunia akiwa katika nyumba ya kulala wageni Jijijini Dodoma na tayari amezikwa Jijini Dar huku kukuiwa na utata wa familia ya mkewe aitwaye Riziki mwenyeji wa...
  2. Utata katika matumizi ya lugha

    Kwa fasili ya harakaharaka Utata katika maneno au katika matumizi ya lugha ni ile hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja Mfano:maneno kama vile 📌Ua 📌Mbuzi 📌Chezewa Mfano wa sentensi: 📌Mwenye kazi yeyote halali Hapa maana ya kwanza ni kuwa mtu yeyote mwenye kazi huwa halali...
  3. Utata wagubika kupungua uzito kwa Kim Jong-Un

    Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari. Korea Kaskazini...
  4. Ni wazi Hakimu Michael Mteite na Thomas Simba walitoa hukumu zenye utata dhidi ya Sugu na akina Mbowe

    Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa. Mnamo...
  5. C

    Married to the Mossad: kitabu kilicholeta utata Mossad

    Kitabu ukikisoma unaweza ukadhani ni fiction hapana ni non fiction hata kama kuna sehemu imefichwafichwa na kupakwa rangi ila ni inspired by true events,kilipotoka kilikuwa the best seller huko israel Kitabu hiki kilikaa miaka kumi ndipo kikachapishwa kwani mume wa mwanamama Shalva Hessel...
  6. Fahamu utabiri na utata uliomzunguka TB Joshua

    Licha ya kuwa na wafuasi chungu nzima kutoka mataifa tofauti duniani, pia alikuwa na wakosoaji wengi vilevile kutokana na mafunzo ya kanisa lake. Hii leo tunakuangazia kuhusu utabiri aliotoa na utata uliomzunguka. Maji ya Upako Mwaka 2013 hamu ya maji ya upako {Maji matakatifu} ya TB Joshua...
  7. U

    Pini jingine kutoka kwa Rosa Ree utata mtupu Kanisa lahusika, adai "I'm not Sorry"

    Huu wimbo dah utata mtupu, lakini huyo demu kauwa sana humu
  8. Kuvunja utata kwa wanaosema ule mwezi ni wa jana.

    Katika mambo yanayonishangaza ni hii kaulii ya kusema kuwa "ule wa jana kabisa ulee sio wa leo" Wengine husema waleo hauwezi kuchelewa vilee ule mkubwa huutafuti. Binafsi nafuata mwezi wa kimataifa lakini hii haimaanishi nikubali kila linalosemwa na wenzangu kuwaponda wa mwezi wa kitaifa...
  9. Viongozi wa Tanzania hawaeleweki dhamira yao ya utumishi imesimamia maslahi ya Taifa au imesimamia maslahi ya mabosi wao

    Tanzania yetu ya watanzania ina Watanzania wenzetu ambao ni viongozi wa ajabu Sana katika utendaji wao wa shughuli za kila siku. Huwezi kuwajua misimamo yao imesimamia wapi Wala ukitazama vision yao kwa Taifa ni kinyume na matarajio na matakwa yao katika utumishi wao. Leo unaweza kuwa na...
  10. J

    Kuna siku mbunge mmoja kati ya hao 19 wenye utata ataeleza ukweli wa kilichotokea, Wanawake hawana koromeo

    Tunakumbushana tu kama kuna kitu kinafanywa siri kati ya wabunge 19 wasiojulikana chama chao, basi siri hiyo iko karibu kutoka. Ikumbukwe kati ya wabunge hao 19 siyo wote wamekata rufaa Baraza kuu la CHADEMA. Unajua ni kwanini? Viongozi wa CCM wengi siyo wajanja, siasa za CHADEMA ni za kimjini...
  11. Naomba kujua sheria ya utata huu

    Kuna matukio mawili yameacha UTATA na kupelekea kuvurugika kwa mechi mbili tofauti. 1. Golikipa alishika mpira na baada ya kushika vizuri, fowadi alikuwa mitaa ile ndani ya 18. Kwa mshangao golikipa alimpiga Pepsi bila sababu, refa alifunika tuta. Jambo ambalo lilipelekea mchezo kuisha. Baadhi...
  12. TAMISEMI: AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli

    DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  13. Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo

    1. Kifo cha JPM ni fumbo tata na kina maswali mengi kuliko majibu. 2. Baada ya kifo cha JPM, hata zile kelele za Corona this Corona that hatuzisikii tena, badala yake maisha yanaenda kama kawaida....kwa wenye kutafakari hii inatupa TAFSIRI kubwa sana. 3. Mradi wa Bagamoyo ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…