Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 334
- 657
Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo. Katika orodha hiyo hapo chini ukihesabu ubingwa wa Yanga kwa LIGI KKUU TANZANIA BARA TU Yanga anakuwa bingwa mara 27.
UTATA UNATOKA WAPI
ligi ilianza mwaka 1965 lakini ilipofika mwaka 1982 ilianzishwa ligi ya muungano ambapo ilikuwa inachukuwa timu tatu za juu kutoka ligi ya bara na tatu za juu kutoka ligi ya Zanzibar ligi hiyo ilidumu hadi mwaka 2002
Sasa tovuti za michezo na vyombo vya habari vya nje ya nchi wanahesabu UBINGWA WA MUUNGANO badala ya ubingwa wa bara ndiyo maana wanapata 22 badala ya 27
Vyombo vya habarri vya ndani vinahesabu LIGI KUU BARA TU na utapata YANGA 27 na Simba 22 nimekuwekea orodha hapo chini unaweza kuhesabu mwenyewe
UTATA UNATOKA WAPI
ligi ilianza mwaka 1965 lakini ilipofika mwaka 1982 ilianzishwa ligi ya muungano ambapo ilikuwa inachukuwa timu tatu za juu kutoka ligi ya bara na tatu za juu kutoka ligi ya Zanzibar ligi hiyo ilidumu hadi mwaka 2002
Sasa tovuti za michezo na vyombo vya habari vya nje ya nchi wanahesabu UBINGWA WA MUUNGANO badala ya ubingwa wa bara ndiyo maana wanapata 22 badala ya 27
Vyombo vya habarri vya ndani vinahesabu LIGI KUU BARA TU na utapata YANGA 27 na Simba 22 nimekuwekea orodha hapo chini unaweza kuhesabu mwenyewe
- 1965 - Sunderland (Dar es Salaam)
- 1966 - Sunderland (Dar es Salaam)
- 1967 - Cosmopolitans (Dar es Salaam)
- 1968 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 1969 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 1970 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 1971 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 1972 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 1973 - Simba (Dar es Salaam)
- 1974 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 1975 - Mseto Sports (Morogoro)
- 1976 - Simba (Dar es Salaam)
- 1977 - Simba (Dar es Salaam)
- 1978 - Simba (Dar es Salaam)
- 1979 - Simba (Dar es Salaam)
- 1980 - Simba (Dar es Salaam)
- 1981 - Young Africans (Dar es Salaam)
BINGWA WA LIGI YA MUUNGANO | LIGI KUU BARA | LIGI KUU ZANZIBAR | |
1982 | Pan African | Pan African | Ujamaa |
1983 | Young Africans | Young Africans | Small Simba |
1984 | KMKM (Zanzibar) | Simba | KMKM |
1985 | Maji Maji (Songea) | Young Africans | Small Simba |
1986 | Maji Maji (Songea) | Tukuyu Stars | KMKM |
1987 | Young Africans | Young Africans | Miembeni |
1988 | African Sports (Tanga) | Coastal Union | Small Simba |
1989 | Malindi | Young Africans | Malindi |
1990 | Pamba (Shinyanga) | Simba | Malindi |
1991 | Young Africans | Young Africans | Small Simba |
1992 | Malindi | Young Africans | Malindi |
1993 | Simba | Young Africans | Shengini |
1994 | Simba | Simba | Shengini |
1995 | Simba | Simba | Small Simba |
1996 | Young Africans | Young Africans | Mlandege |
1997 | Young Africans | Young Africans | unknown |
1998 | Maji Maji (Songea) | Young Africans | Mlandege |
1999 | Prisons (Mbeya) | Mtibwa | Mlandege |
2000 | Young Africans | Mtibwa | Kipanga |
2001 | Simba | Simba | Mlandege |
2002 | Simba | Young Africans | Mlandege |
2003 | not awarded (*) | Simba | Jamhuri (Pemba) |
- 2004 - Simba (Dar es Salaam)
- 2005 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2006 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2007 - Simba (Dar es Salaam) [mini-league]
- 2008 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2009 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2010 - Simba (Dar es Salaam)
- 2011 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2012 - Simba (Dar es Salaam)
- 2013 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2014 - Azam FC (Dar es Salaam)
- 2015 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2016 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2017 - Young Africans (Dar es Salaam)
- 2018 - Simba (Dar es Salaam)
- 2019 - Simba (Dar es Salaam)
- 2020 - Simba (Dar es Salaam)
- 2021 - Simba (Dar es Salaam)