utata

Utata (Russian: Утата) is a rural locality (an ulus) in Zakamensky District, Republic of Buryatia, Russia. The population was 653 as of 2010. There are 10 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

    Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria
  2. LIKUD

    Alfa na Alfu: Mapacha walio kufa kifo chenye utata jijini Dar Es Salaam

    Tukio hili limetokea Yombo jijini Dar Es Salaam siku mbili zilizopita. Inasemekana waliugulia tumbo na kupelekea mauti yao. Hakuna taarifa yoyote kama kuna uchunguzi wowote uliofanyika. Upo uwezekano mkubwa kwamba vijana hawa walinyweshwa sumu. Kama kuna waandishi humu ndani wafuatilie hilo...
  3. DogoWaNjombe

    Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  4. Gulio Tanzania

    Mionekano ya vijana wa kiume huko tiktok mbona ina utata sana

    Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
  5. K

    Mheshimiwa Samia,fanya hivi ili kuondoa utata ulionao kuliko kuendelea kumchafua Mtangulizi wako.

    Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa. Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa nchi kwa sasa naamini unajua siri zote za hii nchi,unajua pia mahali viongozi wenzio walipoficha...
  6. Lady Whistledown

    Kenya: Mahakama Kuu yazuia mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yenye "utata"

    Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye utata yaliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake kabla ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti...
  7. BigTall

    Baada ya utata wa ndoa mpya ya Mrema, je, ni kweli ndoa zinaruhusiwa Kipindi cha Kwaresma?

    Baada ya mzee Lyatonga Mrema kufunga ndoa mpya Machi 24, 2022 mitandaoni kukaibuka maneno mengi kuwa inakuwaje mwanasiasa huyo mkongwe anafunga ndoa wakati wa kipindi cha mfumo wa Kwaresma, imebidi niingine chimbo kutafuta majibu. MDAU WA KWANZA (KATEKISTA) Kwanza kabisa nimewasiliana na...
  8. Candela

    Postcode na Utata wake

    Wanasema shamba la bibi hauhitaji ruhusa kuvuna. Leo nimepokea ujumbe wa SMS kuhusu postcode, ikinitaka kubonyeza *152*00# ili kuona posti kodi yangu. Ajabu ni kuwa postcode hii ni sawa na iliyotumika katika NIDA, najiuliza kwa serikali itumie pesa kufanya jambo ambalo tayari lipo katika mfumo...
  9. DogoWaNjombe

    Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi. Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
  10. sky soldier

    Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
  11. Gordian Anduru

    Tumalize utata kwanini Yanga ni bingwa mara 27

    Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo. Katika orodha hiyo hapo chini ukihesabu ubingwa wa Yanga kwa LIGI KKUU TANZANIA BARA TU Yanga...
  12. Nguruvi3

    Mtazamo: Mjadala wa utata wa 'Billion''

    Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya Milioni. Kiasi ni kikubwa kikilinganishwa na Milioni za mikopo, watu wanahoji kwanini kukopa ikiwa pesa...
  13. Frumence M Kyauke

    Utata juu ya mahusiano ya mapenzi kati ya Rick Ross na Hamisa Mobetto

    Hivi karibuni ukurasa wa Hamisa Mobetto Instagram umedhihirisha kuwa mwanamtindo huyo yupo karibu sana na Rick Ross. Hamisa Mobetto amekuwa akichapisha picha na video fupi zikionesha wawili hao wakiwa kwenye kumbi tofauti za starehe huku wakionesha ishara ya mapenzi Shabiki wa Rick Ross na...
  14. B

    Jaji kesi ya Mbowe na hukumu kinzani

    Kwamba Jaji Tiganga kalitupilia mbali pingamizi kesi ya Mbowe na aliwahi kutoa hukumu hii: Kuna nini kilichobakia? Pamoja na kumshtakia Mungu, huyu Jaji aombwe kujitoa.
  15. R

    Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

    IN THE HIGH COURT OF TANZANIA IN THE DISTRICT REGISTRY AT MWANZA MISCELLANEOUS CIVIL APPLICATION NO. 152 OF 2019 (Arising from PC Civil Appeal No. 37 of 2018 which originated from Bupandwa Primary Court, Civil Case No. 27 of 2017) WILFRED JOHN...
  16. Red Giant

    Hivi kukitokea utata wa jambo, wananchi tunatakiwa kuwahoji Rais na Mawaziri au Wabunge?

    Ni utaratibu uliozoeleka kwa jambo lolote likitokea wananchi kuomba ufafanuzi kwa mawaziri, au wakimlilia Rais. Lakini kwa utaratibu wa siasa za uwakilishi si ilitakiwa tuwapigie kelele wabunge na mkubwa wao Spika. Mfano bei ya mafuta ya kula ikipanda, Tozo ikiongezeka, mkataba wa gesi...
  17. Prof Koboko

    Hii Kodi ya Majengo mbona ni utata? Ninawaza tofauti

    Ninajiuliza, kama mwanzo kodi hizi zilikua zinalipwa na wamiliki wa majengo, imekuaje mzigo huu utupiwe kwa wapangaji? Hii ni haki siyo uonevu? Kwanini nisifikiri kuwa viongozi wetu huko juu ndio wengi wao wanamiliki majumba mengi kama miradi yao wanataka kukwepesha mzigo huu kwao? Kwanini...
  18. Suley2019

    Utata dili la Messi kwenda PSG, Perez adaiwa kutia mkono wake ili ampate Mbappe

    Punde baada ya Lionel Messi kutangaza kuondoka Barcelona, baadhi ya Wajumbe walianza kujiuzulu nyadhfa zao ndani ya klabu wakilalamika kusalitiwa na Rais Laporta Wengi wanadai dili la Messi kwenda PSG ni Rais Perez wa Real Madrid anahusika, wakiamini ndie aliemshauri Rais Laporta kwakuwa ni...
  19. Suley2019

    Utata wagubika soka ya Hispania. Real Madrid na Barcelona watishia kugoma mechi zao kuoneshwa

    Soka la Hispania lipo chini ya Shirikisho lao la soka RFEF, ambao wao wana LA LIGA kama chombo huru kinachosimamia Ligi kuu na Daraja la kwanza Sasa kutokana na uhuru huo LA LIGA chini ya Javier Tebas wana mambo mengi wanafanya kinyume na mitazamo ya wengi, huku wakisema ni kibiashara zaidi...
  20. Shujaa Mwendazake

    Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

    Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu. Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?. Za kwangu hizi...
Back
Top Bottom