Siku chache baada ya The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” kuandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania wakidai kulipwa fidia kwa kilichotokea wakati wa Ukoloni, Esther...
Wakuu heshima mbele, niende moja kwa moja kwenye mada.
Pengine inaweza kuonekana kama jambo la ajabu kwangu mimi naweza kuchukua hatua je wangapi wasiojua hili?
Ipo hivi majuzi nilitinga katika supermarket moja hivi , nina utamaduni wa kila bidhaa nitakayonunua lazima nitizame expiry date...
Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula.
• Dar - - Mwanza
• Dar - - Mbeya
• Dar - - Kigoma
• Dar -- Arusha
• Dar --...
Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
Pale Inyala unapoteza dakika 30 wanasema mnasubiria malori yanapita muda wake tofauti na magari mengine.
Pale mteremko wa Mbalizi ni hivyohivyo halafu tena ukiingia mkoa wa Songwe kuna sehemu utaratibu ni huo.
Chakushangaza barabara ni nzima kabisa ila wameweka huo utaratibu kwasababu kuna...
Siyo kuwa Mtanzania anapenda kununua gari lililotumika la hasha. Kinachopelekea Mtanzania kununua gari lililotumika na hali ya kipato chake. Kwa Mtanzania kama mimi siwezi kununua gari jipya la toleo la toyota kwa gharama ya Tshs.120,000,000 au Toyota Landcruiser hard top kwa Tshs. 160,000,000...
Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.
Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke
1. Kwa mabinti wa sasa ni...
Ukichelewa au ukihairisha utatakiwa kuongeza pesa ya ziada kufidia ili uingie kwenye manifest ya ndege nyingine siku nyingine au saa nyingine kama kutakuwa na nafasi. Hii haina shida maana sio uzembe wao ni wa abiria.
Ila sasa wao nao wanapohairisha safari au kusogeza mbele muda kwa sababu...
Baada ya kumchunguza mke wangu Kwa muda mrefu nimegundua kazi za nyumbani yaani chores zinamchosha na kupelea kuwa na hasira zisizo na msingi mara Kwa mara.
Hivyo nimeanza utaratibu wa kufanya kazi za ndani hasa juma mosi na jumapili ambapo siendi kazini.
Leo niliamka saa kumi na moja...
Kwa muda wa miaka 3 ya utawala wa Rais Samia, kumekuwa na Teuzi na Tenguzi au kubadilishwa kwa nafasi za Kiutawala kwa wanaoteuliwa na wakati mwingine bila hata kuelezwa sababu.
Samia amekuwa akiteua na kutengua au kuwarejesha watu walioondolewa kazini kwa sababu mbalimbali. Na wapo ambao...
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu.
Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari.
Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
Ni swali kwa wote ila Nitaanza na Sheria chache najua kuna wajuzi wengi wataziongezea..
Ukiomba kuonana na mtu eleza shida yako usimletee aliyekuita/Waliokuita umbea.
Fika eneo la kukutania Kabla yake na Kama utachelewa mjulishe mapema ukiwa na sababu za msingi.
Ukiwakuta watu wamekaa mahali...
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani.
Maswali...
Niliingia first Year nikiona mwaka wa mwisho wote wanaijiwa na waajili wakaanze kazi. Siku namaliza hakuna hata hata mmoja aliyekuja. Hali ilikuwa imebadilika. Nilikuwa nimeshaapa sirudi nyumbani afe kipa afe beki.
Plan B
Niliandaa barua na CV kama 200 hivi. Za elimu zote, form 4, six, ya chuo...
Salaam, Shalom!
Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe.
Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM,
Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kwa ambao mmeoa Uchagani na wanawake Mlioolewa kina baba na kina mama mliopo humu.
Nina mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano ni Mchaga wa Rombo, nahitaji kwenda kutoa mahari.
Taratbu zinatofautiana naomba kwa waliowahi au kujua taratbu za Uchagani kwa Wa...
Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea.
Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji.
Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya!
Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...