Kwa hali ya sasa Ngono haiepukiki kabla ya ndoa, Kijana wa kikristo ukioa bila utaratibu huu imekula kwako tegemea lolote

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Muhimu: wanawake waliojitunza wenye bikra hawahusiki.

Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke

1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, Kwa hali ilivyo inabidi utunge mimba kwanza, unasikiliza hadi azae na ikibidi ujiridhishe mtoto ni wako, baada ya hapo huna budi kuoa, haipendezi lakini hakuna namna !!


2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, kachora tatoo "yote ni yako Maiko" chini ya kitovu ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.

3. Mabinti kwa siku hizi suala la kujitunza limekuwa mtihani, Kama mwanamke sio bikra ni wajibu wako ujiridhishe kama utaweza kummudu, kuna wanawake huwa wametumika sana kupita kiasi na wanaume wengi hata maumbile yao hayavutii tena, wengine ukimuingilia hauenei, unabaki kupwaya na kuelea, ni vema ujiridhishe mapema kabla hujafanya maamuzi ya kuoa moja kwa moja,
 
Ila na sisi kanisa tunawa
Mungu ni yule yule,

Jana hata Leo,

Milele habadiliki,

Mungu ni yule yule.

Ndio ninyi mnaingia nyumba za Ibada na vipensi, na wake zenu wanavaa vimini,mkidai Eti ni usasa!!

Mungu habadiliki!!
Ila na sisi kama Kanisa tunawandekeza. Ni bora niendelee kuimba na mke wangu na watoto kuliko kuwa na waamini wapuuzi wa namna hiyo. Hakuna sehemu yoyote chini ya jua isiyo na utaratibu.
 
Na huo ndio ukweli, kwa sasa ni ngumu sana kwa mkristo mwanaume kuingia kwenye ndoa bila tendo, Kwa wenzetu upande wa pili haya mambo yanaweza kurekebishika kwa talaka zisizo na mlolongo wa miaka ama kuongeza mke

1. Kwa mabinti wa sasa ni kizazi cha kumeza vidonge vya uzazi ambavyo vimehusishwa sana na kuleta matatizo katika uzazi, hata kwa wanafunzi wa kike wa sekondari p2 zimekuwa kama jojo, madhara ni hapo baadae kwenye kizazi, kwa sasa ukiingia kwenye ndoa bila kuzalisha mtoto inaweza kula kwako, piga mimba azae na ikibidi ujiridhishe ni wako ndio uoe, haipendezi lakini hakuna namna !!

2. Unaingiaje kwenye ndoa humjui mwenzako akiwa uchi kwa hali ya sasa ? mfano mdogo tu kuna wanaume hatupendi wanawake waliochora tatoo, siku unamuoa ndio unakuja kutana na tatoo ya linyoka limetanda mgongo mzima, tatoo ya mazabibu imeenea katika kitovuni mpaka kunako, waweza hata kutana na tatoo ya jina la ex wake paja zima ...... ni vema sana umchunguze akiwa uchi na ni ngumu kwa mwanaume rijali asionje mwanamke akimvulia nguo.
Mkuu una zungumzia tatoo kama hii
20231205_180636.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20231125-081235_Instagram.jpg
    Screenshot_20231125-081235_Instagram.jpg
    180.9 KB · Views: 5
Watumishi wanaogopa kuwakemea Eti watahama.
Nifahamuvyo, Mungu akikutia kwenye huduma.anajua ni akina nani utakao wachunga tokana na imani na msimamo wako. Ni udhaifu sana wa kimwili na kiroho kuruhusi upuuzi wa namna hiyo eti watahama. Mzee ni bora uendelee kuomba na mkeo na watoto kuliko kuwa na watu 100 wanaovaa vipensi na vikaptura kanisani.
 
Back
Top Bottom