Utaratibu wa Mahari, mwanamke wa Kichaga Rombo

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kwa ambao mmeoa Uchagani na wanawake Mlioolewa kina baba na kina mama mliopo humu.

Nina mwanamke niliekuwa nae katika mahusiano ni Mchaga wa Rombo, nahitaji kwenda kutoa mahari.

Taratbu zinatofautiana naomba kwa waliowahi au kujua taratbu za Uchagani kwa Wa Rombo zikoje.

Nipo nafatilia Comment nasoma moja baada ya nyingine, msaada wenu kwa mnaojua.

Nataka tu kupata Picha ili nijue najipangaje, Picha tu ule mwanga wa wapi nikijikuna mkono unafikia.

NOTE: Niko serious naombeni majibu Mlionitangulia.
 
Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwa ambao mmeoa Uchagani na wanawake Mlio olewa kina baba na kina mam mliopo humu.

Nina mwanamke niliekua nae katika mahusiano ni Mchaga wa Rombo, nahitaji kwenda kutoa mahari.

Taratbu zinatofautiana naomba kwa walio wahi au kujua taratbu za Uchagani kwa Wa rombo zikoje.

Nipo nafatilia Comment nasoma moja baada ya nyingine,Msaada wenu kwa mnaojua.

Nataka tu kupata Picha ili nijue najipangaje, Picha tu ule mwanga wa wapi nikijikuna mkono unafikia.

NOTE : Niko serious naombeni majibu Mlionitangulia.
Mchagga wa Rombo, mmh!!!!!
 
Pole na kwa heli. Bora utupunguzie jam ma bachelor, maana inaonekana ulikuwa tu unatubana bure. Na machozi yako akusindikize, ukianza kulia usirudi hapa hatukupokei
 
Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwa ambao mmeoa Uchagani na wanawake Mlio olewa kina baba na kina mam mliopo humu.

Nina mwanamke niliekua nae katika mahusiano ni Mchaga wa Rombo, nahitaji kwenda kutoa mahari.

Taratbu zinatofautiana naomba kwa walio wahi au kujua taratbu za Uchagani kwa Wa rombo zikoje.

Nipo nafatilia Comment nasoma moja baada ya nyingine,Msaada wenu kwa mnaojua.

Nataka tu kupata Picha ili nijue najipangaje, Picha tu ule mwanga wa wapi nikijikuna mkono unafikia.

NOTE : Niko serious naombeni majibu Mlionitangulia.
Ndugu umekosa kabsa sehm nyingine Tanzania ya kutoa posa?
 
Mtu mwingine huyo ameanza safari ya kutafuta kitanda hospitali ya wagonjwa wa.............. Namuona akipaki begi zake, ndo anaaga washikaji hivyo.
 
Pole na kwa heli. Bora utupunguzie jam ma bachelor,maana inaonekana ulikuwa tu unatubana bure. Na machozi yako akusindikize,ukianza kulia usirudi hapa hatukupokei
Kwa uandishi wako huo sidhani kama umekua kiasi cha kutaka kumshauri mtu kwenye masuala muhimu ya maisha.

Wewe umekuta watu wanaimba ukaamua uunge nao ila huna unalolijua kwenye ishu ya ubachela.
 
Kwa uandishi wako huo sidhani kama umekua kiasi cha kutaka kumshauri mtu kwenye masuala muhimu ya maisha.

Wewe umekuta watu wanaimba ukaamua uunge nao ila huna unalolijua kwenye ishu ya ubachela.
Kwani lazima niandike unachotaka kusikia wewe? Tatizo ndo hilo. Yaani watu wote watililishe unachokitaka wewe! Haitatokea.

Af,kama kweli we si wa kiume,kama huwezi fanya maamuzi mwenyewe,unategemea nini? Ukikubali akili zako zitawaliwe na za wenzio,huna tofauti na kipofu anaekubali kuongozwa na kipofu mwenzie. Kwa heri
 
Back
Top Bottom