The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,433
- 17,070
Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii.
Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day.
Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee mazingira.
Naombeni muongozo wakuu.
Ahsante.