Pigia kura vivutio vya utalii Tanzania, ili kuongeza idadi ya watalii

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,528
Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu.

Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende vyetu.

Vote – World Travel Awards
 
Muwe mnaweka mifumo rahisi kwa wapiga kura, tunaojua kufungua hivi ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom