Wadau wa utalii mna mtazamo gani kuhusu uamuzi mpya ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii?

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,539
2,000
Serikali imeazimia kuipa mamlaka TRA kuhusika moja kwa moja na ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii katika taasisi hizi TANAPA, NCCA, na TAWA.

Je, huu uamuzi kwa mtazamo wako una athari chanya au hasi katika utalii?

IMG-20200612-WA0000.jpg
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,288
2,000
Mkuu Cvez kwa NCAA na TANAPA naona anguko kubwa sana, hawa jamaa kwa miaka mingi fujo zao za pesa zimetokana na ukusanyaji wao wa pesa kupitia shughuli za utalii ukizingatia asilimia zaidi ya tisini utalii wa nchi hii unategemea wanyamapori basi iliwapa nguvu kubwa sana, hili la kucentralize ukusanyaji kwenda TRA then hazina utawanyima fursa nyingi za upikaji hawa jamaa, nadhani serikali iliona vurugu zile za pesa zilizofanywa na "machief", nawaza tu maisha baada ya hilo, kwa wazee wa game TAWA hili ni pigo jingine kubwa baada ya lile la kupokonywa maeneo yao muhimu ya upigaji pale Selous.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599
2,000
Mkuu Cvez kwa NCAA na TANAPA naona anguko kubwa sana, hawa jamaa kwa miaka mingi fujo zao za pesa zimetokana na ukusanyaji wao wa pesa kupitia shughuli za utalii ukizingatia asilimia zaidi ya tisini utalii wa nchi hii unategemea wanyamapori basi iliwapa nguvu kubwa sana, hili la kucentralize ukusanyaji kwenda TRA then hazina utawanyima fursa nyingi za upikaji hawa jamaa, nadhani serikali iliona vurugu zile za pesa zilizofanywa na "machief", nawaza tu maisha baada ya hilo, kwa wazee wa game TAWA hili ni pigo jingine kubwa baada ya lile la kupokonywa maeneo yao muhimu ya upigaji pale Serous.
NCAA/TANAPA kwisha habari yao mkuu.
 
In a long run unadhani huu uamuzi utachingia kuongezeka kwa mapato na ufanisi wa sekta yetu?
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,539
2,000
Ngoja nikuulize swali mkuu,hizi halmashauri zilivyonyanganywa vyanzo vyao vya mapato kama vile ushuru wa mabango na vyanzo vinginevyo na pesa hio kukusanywa huko TRA unaona ufanisi umeongezeka au la?
Mapato yameongezeka kiasi kutokana na takwimu za serikali.

Ila hii issue is a bit complicated and I can't come with a precise answer. Kwanza I acknowledge kulikua kuna matumizi mabaya ya fedha kwa hizi taasisi.

Secondly, serikali imefanya vizuri kucontrol mapato but doubt yangu ni kua did they do it for right reasons au wameona ni sehemu ya kupata pesa za chapchap kwa shughuli zao za kisiasa.

Cause if they are not careful wanaweza kupoteza hadi hiki wanachokipata. So now only questionable thing ni intention ya serikali itakua na positive outcome.!!!
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599
2,000
Mapato yameongezeka kiasi kutokana na takwimu za serikali.

Ila hii issue is a bit complicated and I can't come with a precise answer. Kwanza I acknowledge kulikua kuna matumizi mabaya ya fedha kwa hizi taasisi.

Secondly, serikali imefanya vizuri kucontrol mapato but doubt yangu ni kua did they did for right reasons au wameona ni sehemu ya kupata pesa za chapchap kwa shughuli zao za kisiasa.

Cause if they are not careful wanaweza kupoteza hadi hiki wanachokipata. So now only questionable thing ni intention ya serikali itakua na positive outcome.!!!
hapo nilipo underline ndipo na mimi sijapaelewa sawa sawa,maana kwa mfano huko halmashauri kwa sasa hali zao ni tete,kujitegemea haiwezekani,sasa ni kuomba tu pesa kutoka serikali kuu.

Ila kwa mtizamo wangu Centralization tija yake ni ndogo kukinganisha na decentralization.
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,288
2,000
In a long run unadhani huu uamuzi utachingia kuongezeka kwa mapato na ufanisi wa sekta yetu?
Kuongezeka kwa mapato, YES i'm sure hundred % hapa TRA wamehit the Jackpot naona sasa ile 25% ya pato litokanalo na utalii litaongezeka zaidi ya hapo in the near future, najua unajua jinsi gani hii sekta ilivyo na pesa nyingi ambazo kwa asilimia kubwa zinaishia kwa sekta binafsi "big boys" , lakini kwa uamuzi huu naona sasa serikali yetu inaenda kufaidika moja kwa moja na vivutio vyake.

Speaking of ufanisi hapa napata ukakasi wale wazee wa Tanapa na NCAA kuwaondolea hii nafasi ya upigaji ile morali ya kazi sidhani kama itakuwa kama awali hasa hawa watumishi wa ngazi za chini, ngoja tujipe muda lakini sioni morali ile iliyokuwepo kwa vijana wa NCAA pale mjini karatu 😂kama itaendelea kuwepo.
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,539
2,000
hapo nilipo underline ndipo na mimi sijapaelewa sawa sawa,maana kwa mfano huko halmashauri kwa sasa hali zao ni tete,kujitegemea haiwezekani,sasa ni kuomba tu pesa kutoka serikali kuu.

Ila kwa mtizamo wangu Centralization tija yake ni ndogo kukinganisha na decentralization.
Let's wait and see
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,539
2,000
Kuongezeka kwa mapato, YES i'm sure hundred % hapa TRA wamehit the Jackpot naona sasa ile 25% ya pato litokanalo na utalii litaongezeka zaidi ya hapo in the near future, najua unajua jinsi gani hii sekta ilivyo na pesa nyingi ambazo kwa asilimia kubwa zinaishia kwa sekta binafsi "big boys" , lakini kwa uamuzi huu naona sasa serikali yetu inaenda kufaidika moja kwa moja na vivutio vyake.

Speaking of ufanisi hapa napata ukakasi wale wazee wa Tanapa na NCAA kuwaondolea hii nafasi ya upigaji ile morali ya kazi sidhani kama itakuwa kama awali hasa hawa watumishi wa ngazi za chini, ngoja tujipe muda lakini sioni morali ile iliyokuwepo kwa vijana wa NCAA pale mjini manyara 😂kama itaendelea kuwepo.
Huo wasi wasi ni wa msingi. Binafsi sioni Mazingira mazuri ya kutuepusha na wasi wasi huo. Upotevu wa pesa unachagizwa na top layer za sekta hii... Je haziwezi shughulikiwa?

Sababu wewe unajua ni jinsi gani utalii unakua na demand ambazo muda mwingine ni unexpected (sababu ni service industry it's not uniform) ambazo zinahitaji immediate solutions. At this point will they get money on time au itakua mpaka wasubirie money from central government.
 
kitowowoti

JF-Expert Member
Feb 25, 2016
302
250
Mkuu Cvez kwa NCAA na TANAPA naona anguko kubwa sana, hawa jamaa kwa miaka mingi fujo zao za pesa zimetokana na ukusanyaji wao wa pesa kupitia shughuli za utalii ukizingatia asilimia zaidi ya tisini utalii wa nchi hii unategemea wanyamapori basi iliwapa nguvu kubwa sana, hili la kucentralize ukusanyaji kwenda TRA then hazina utawanyima fursa nyingi za upikaji hawa jamaa, nadhani serikali iliona vurugu zile za pesa zilizofanywa na "machief", nawaza tu maisha baada ya hilo, kwa wazee wa game TAWA hili ni pigo jingine kubwa baada ya lile la kupokonywa maeneo yao muhimu ya upigaji pale Serous.
ah' serous kweli?
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
1,650
2,000
Wacha wazichukue, hizo taasisi zilikuwa zinapiga hizo hela kwa kujipangia matumizi mabovu, malipo ya vikao na seminar na posho zisizoeleweka, wacha wawe wanagawiwa ka taasisi zingine..

Walishindwa kula na kipofu! Kila CAG anayepita wamo, wamekuwa mwiba! Labda hili ni suluhisho, wanakusanya vizuri sawa lakini wanatumia kama walevi wa komoni.

Everyday is Saturday........................ :cool:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom