Suala la utalii analotangaza Rais Samia siyo la muungano. Rais Hussein Mwinyi naye ajitangaze kivyake Zanzibar

SubiriJibu

JF-Expert Member
Jun 26, 2009
1,803
1,863
Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar.

Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania.

Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja na Pemba aje na sinema yake tofauti na hii ya Samia.
 
Nilijiuliza baada ya Mh Rais SSH kuondoka Pemba kesho yake Mh Rais HAM akatia timu Pemba kwenye ziara. Isije kuwa ni kufuta nyayo!!
 
Back
Top Bottom