utajiri

  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna mtu anaamini kuwa vyama vya siasa vya upinzani ndio vitaleta mageuzi katika taifa hili?

    Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wachaga waendelea kukimbiza Wakinga, waongoza Tanganyika utajiri

    Katika Ardhi ya Tanzania na Zanzibar mambo yanaendelea kama yalivyokuwa, Jamii ya watu wa kihindi na kiarabu wameendelea kukaa juu n kuongoza listi ya matajiri Tanzania. Lakini kabila la wachaga linalokimbizana utajiri na Kabila la Wakinga, limeendelea kuwa juu, huku watu wawili wa kabila Hilo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ninawasiwasi kuna watumishi wameoa majini yanayowapa utajiri au wao ndio majini yenyewe

    Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe. Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa. Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue anaona itakuwa ni usumbufu tu hakuna kuoa,ni kuimba na kusifu tu!
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana tapeli ana digrii ngapi, kutoka chuo gani na ni namba ngapi kwa utajiri kwa Dar tu?

    Maswali mengine Utajiri wake unatokana na nini? Generals gani anaokaa nao mezani na wanazungumza nini?
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri ni kufanya yasiyofanywa au kufanya yaliyoshindikana

    Elewa Code halafu tembea nayo.
  7. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania UTAJIRI WANGU NI MAISHA DAIMA

    Pesa haiwezi kununua uhai 👇
  8. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Passive Income Haiwezi kukutajirisha - Wanakudanganya.

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Siku hizi, watu wengi wanapenda kusikia kuhusu habari za passive income. Wanavutiwa na njia za kutengeneza pesa kupitia mfumo huu. Kama hujui passive income ni nini, nitaeleza kwa ufupi lakini unaweza pia kufanya utafiti wako binafsi. Passive income ni kipato...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vanguard na BlackRock: Utajiri usioonekana na nguvu kuu ya Kiuchumi Duniani

    Katika karne hii ya 21, vita vya kiuchumi havipigwi tena kwa silaha wala bunduki, bali kwa mitaji, hisa, na ushawishi wa kifedha. Katika anga hiyo, kuna mapacha mawili waliojitokeza kwa nguvu ya ajabu: Vanguard Group na BlackRock Inc. Haya si makampuni ya kawaida – ni taasisi za usimamizi wa...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Huu msemo wa kusema kutoa ni Moyo na si utajiri umekaa kitapeli na kihuni sana

    Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How? Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k Halafu mwishoni unaandika maneno ya kitapeli eti kutoa ni Moyo Wala si utajiri. Tuambizane hapa ukweli ni masikini yupi anaweza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji na Bakhresa acheni ubinafsi. Fanyeni kama Bill Gates

    Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mafundisho ya kisabato yanadumaza mafanikio, utajiri, umaarifu, ni ngumu sana kuwakuta wasabato wenye mafanikio makubwa.

    Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
  13. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mkomunisti aliyechukia umasikini na kuupenda utajiri aliifufua China toka kuzimu [ Dikteta bora wa Kiasia mzaliwa wa China Deng Xiaoping ]

    Si mwingine bali ni mtu mfupi wa kimo bali mrefu wa maarifa na kuona mbali kuhusu kesho ya taifa lake Deng Xiaoping Mkomunisti na dikteta bora wa kichina aliye iokoa chini yake kutumbukia shimoni mwa umasikini uliotopea na mvurugano mkubwa wa kisiasa. Deng Xiaoping alinusurika kuuwawa na...
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nilivyo kutana na jini wa utajiri wa mateso

    H
  16. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

    Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

    Nimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa. Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa . Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Ndagu/Majini

    hivi nikweli utajiri wa aina hii upo..? mbona nimeutafuta sana siupati.? Nahitaji kufanikiwa ndani yamuda mfupi tu. mwenye hizo connection nitamshukuru sana akinipa muongozo wakufanikisha hilo jambo. umasikini mateso sana NATAKA PESA ZACHAP CHAP
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa mno nauona utajiri mkubwa mbele yangu

    Kupanga ni kuchagua Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata...
Back
Top Bottom