Maparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani
Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa unafikiria ulime nini Lima parachichi la kisasa utakuja kunishukuru usije sema sijakuambiaa.
Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi
Kujenga akili ya kifedha...
Dr Toyota anadai vijana hawapo tayari kufanya kazi kitu ambacho si kweli kimsingi watu wanafanya kazi zenye kurisk afya hata maisha yao ila wanachopata hakimudu gharama muhimu za maisha.
Mabrother waliojipata baadhi yao wanakuwa na roho za kishetani unakuta umeshiriki hata kwenye mchongo...
Habari zenu huku,
Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya kijamii.. lakini kupitia nyuzi za watu , nilijifunza na kuelewa mambo mengi sana.(kipindi hicho jf ilikua...
Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu
Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk
Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus
Mashamba ya mazao ya chakula na biashara,
Maduka ya nafaka, spare parts za magari au ata pikipiki nk
Amejenga ana nyumba Kali Hadi...
Yani najikuta nachimba sana na sometimes naona nimepata hela ya kutosha per day
Lakini nikiiweka mezani naona bado si kitu, akili inaniambia kwa hela hiyo bado huwezi hata kupata kiwanja town (sio kujenga)
Au hela Mazee imepungua thamani
Najikuta na grind sometimes lakini nikijaribu kufanya...
Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.
Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD.
Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks.
The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and...
Kumchizisha ndugu yako awe ndondocha, kila siku unaporudi unajijua wewe ndio chanzo chake kuwa chizi
Kumuua mzazi wako, mtu aliekuleta duniani umemtoa duniani anatumika kama msukule.
Kumuua mtoto wako, damu yako umeitowesha duniani kwasababu ya tamaa yako ya pesa.
kukatazwa kusaidia ndugu...
Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi?
Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK).
Kwa nini Tanzania ina rasilimali nyingi zaidi?
Tanzania ina:
Madini mengi (dhahabu, almasi, tanzanite, nickel n.k.)
Ardhi kubwa ya...
Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri.
Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi kuoga oga akikiuka pesa zote zinapotea
Swali la kizushi kwenu
Tuchukulie ingekuwa kweli kama...
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea.
Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
JE,INAWEZEKANA KUJENGA UTAJIRI WA VIZAZI KWA MSHAHARA WA SERIKALI?.
Ndiyo! Inawezekana kabisa. Hapa, tunaamini kujenga utajiri hakutegemei pekee ukubwa wa mshahara unaoingiza mwisho wa mwezi,bali nidhamu yako ya kifedha, mipango ya muda mrefu na mkakati thabiti wa kuwekeza.
Hebu tuangalie...
Kuna wizara ya ovyo sijui wizara ya vijana takataka tu.
Ni hapa tanzania tu ndio tunasema riziki ni mungu kumbe sio kweli wakati wenzetu wana mwajuma tena chupi kubwa.
Kwa wenzetu kipaji chako kiwe kwenye elimu,sanaa,akili,uwezo wowote we ni tajiri ukilinganisha na hapa kwetu yani profesa kawa...
Mimi navyo fahamu,watu ambao wameshafika kuandika vitabu wanauwezo wa maarifa kuyatumia.
Ila hapa tanzania ni tofauti asilimia kubwa mfano Yeriko nyerere hata ujasusi wenyewe hawezi.
Sasa huyu bwana Joel ni maneno mengi unaweza kusema jamaa anaweza maisha yake binafsi kumbe sio bora hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.