Almost half of Kenya’s population lives in extreme poverty – on less than Ksh.130 per day – a new Oxfam Kenya report reveals.
The report also shows that Kenya’s richest 125 people own more wealth than 42.6 million people, amidst deepening poverty levels.
A report named Kenya’s Inequality...
Haya ndiyo maisha wanayoishi wapigiwa kura wakati GenZ wanaambiwa watapewa mikopo ya milioni 5 kila wilaya. Wapigiwa kuwa wana pack nagar ya bilioni 5 kwenye yard nyumbani kwao.
Umewahi kujiuliza kwanini Matajiri au watu waliofanikiwa ni wachache Sana kwenye jamii?Je unafikiri kwanini wengi wanashindwa kuupata UTAJIRI?Kuupata UTAJIRI unahitaji NGUVU ziwe za kiroho (za Giza au za kimungu) Ili ufanikiwe.Kwenye Biblia imeandikwa Kumb 8:18 "nawe utamkumbika BWANA Mungu wako...
Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako.
Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na...
Wazo kuu hapa ni kwamba utajiri wa kweli wa matajiri haujatokana na kuwa na rasilimali asilia (kama mafuta, madini, au ardhi yenye rutuba) bali ubora wa rasilimali watu (human capital), yaani, ujuzi, maarifa, ubunifu, nidhamu, na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja wa wananchi wake.
Naomba...
Na Mwandishi Wetu,
Katika kongamano maalum kuhusu hali ya uchumi na mwelekeo wa Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Bw. David Zacharia Kafulila, mchambuzi wa masuala ya Sera na uchumi ambae pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC...
Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na ndugu wengine. Hali huwafanya waweze kutengeneza mitaji na uthubutu kufanya mambo mbalimbali hata ya...
INTRODUCTION:-
Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!!
Hebu twende hoja..
Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!!
Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU.
Hivi mtumishi wa umma anakuaje na...
Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar.
startup kubwa huanza na swali dogo.
Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa:
“Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?”
Mwaka 2015, waliamua...
Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika
Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili
Hatuzijui sikukuu...
Utangulizi
Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri.
Tofauti kati ya fedha na utajiri
Fedha ni kiasi cha pesa mtu ambacho anatumia kila siku kwa mahitaji mbalimbal,lakin utajiri ni jumla ya vitu...
Tangu uhuru wa Tanganyika na baadaye Tanzania, tumebarikiwa kuwa na marais sita waliopishana kwa mitindo ya uongozi na athari zao kwa jamii. Kwa mtazamo fulani, viongozi hawa wanaweza kuonekana katika makundi mawili tofauti.
Kundi la kwanza ni lile la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Benjamin...
Bandiko hili limekuwa inspired na Mwalimu Google TV hapa: https://youtu.be/ilz7gIS9VLY?si=Ghkq5_IGuoDx8gLS
Norway ni mfano bora duniani wa jinsi nchi inaweza kugawa utajiri wa taifa kwa usawa kati ya wananchi wote. Baada ya kugundua mafuta na gesi baharini (North Sea) mwishoni mwa miaka ya...
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
Katika Ardhi ya Tanzania na Zanzibar mambo yanaendelea kama yalivyokuwa, Jamii ya watu wa kihindi na kiarabu wameendelea kukaa juu n kuongoza listi ya matajiri Tanzania.
Lakini kabila la wachaga linalokimbizana utajiri na Kabila la Wakinga, limeendelea kuwa juu, huku watu wawili wa kabila Hilo...
Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe.
Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa.
Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue anaona itakuwa ni usumbufu tu hakuna kuoa,ni kuimba na kusifu tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.