Kilimo kinalipa mno nauona utajiri mkubwa mbele yangu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,850
Reaction score
39,813
Kupanga ni kuchagua

Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno

Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi

Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000

Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k

Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,

Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.

Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu
 
Bei ya kahawa imepanda dunia nzima kwasbb Brazil haizalishi tena hapa Tanzania tunaibia Uganda kilo ya kahawa ilio safishwa ni sh 40 000 sawa sawa na 25k ya Tanzania,........bei ya vyakula vingine bado iko chini ukilinganisha na soko Kenya na Uganda mkulima wa Tanzania wa kufa masikini milele
 
Hivo hivo tunahujumiwa lakini kidogo hicho Kwa Sasa ni kikubwa kwetu wakulima
 
katika hichokilimo kinacholipa, usijelipisha wengine.
 
Kupanga ni kuchagua

Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno

Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi

Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000

Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k

Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,

Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.

Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu
Unalimia wapi tukutembelee?
 
Usimalize maneno
FB_IMG_17406175313736122.jpg
 
Wasalimie Kaisho, Nkwenda ,na Murongo....hivi kile Kijiji kinachofuata kutoka Nkwenda ukielekea Kaisho panaitwaje ..nilikula ndizi taku pale tukiwa kwenye mkekw wa mgomba! ....Kyerrwa na Karagwe ni 🔥🔥! Ntumie chia seed Mkuu!
 
Karibu sana
 
Kupanga ni kuchagua

Kuna vijana tuliamua kulima Kwa bidii na Sasa tunavuna na Mungu amejalia mazao yamekubali na bei Iko poa mno

Nawapongeza serikali hasa sisi watu wa mkoa wa Kagera tumepata bei nzuri ya kahawa Kuna uwezekano ikafika kg 1 sh 10000 Sasa hapa fikiria mkulima atakayepata hata Tani 3 na zaidi

Mahindi Yana bei kubwa ni pesa ndefu
Maharage Yana bei kg ni 2700
Mchele una bei kg 1 mo 2000
Karanga Zina bei kg 1 ni 3000
Kahawa Zina bei kg 1 ni 7000

Mifugo kijijini inalipa
Ng'ombe kuanzia 800k
Mbuzi kuanzia 100k
Kuku na bata kuanzia 15k

Vijana wale walioamua kubaki mjini kufuga ndevu na kucha rudini vijijini mshike jembe,

Kilimo kitakupa kila unachohitaji.
Pesa Iko shambani
Lima utavuna na utapata pesa.

Karibu tuwekeze katika kilimo,
Kilimo hakimtupi mtu

Asante kwa mada nzuri ya kutuhamasisha...
Kilimo ni kizuri sana kama utapata eneo lililopo karibu na maji au ukaweza kutengeneza miundo mbinu ya maji yanayofaa kunyweshea; tofauti na hapo wekeza kwa kiasi au niseme wekeza kwa nusu ya mtaji kwanza ukisoma ramani....
 
Back
Top Bottom