Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,076
- 6,199
Utajiri vs umaskini kipi ndio chanzo Cha Uovu mwingi duniani?
Karibuni wadau tujadili.
Karibuni wadau tujadili.
Umaskini ni uchawi level ya kwanzaUmasikini unatisha ndio chanzo cha roho mbaya , majungu , fitina , na uchawi
UmasikiniKaribuni wadau tujadili.
kwahio kuna watu wanajivunia kumiliki umasikini?Vyote endapo vikimilikiwa na watu wajinga.
Ni myth ausiyo bhanaUovu ni nadharia Ila uovu haupo kiuhalisia. Ni vile akili yako imeamua kutafsiri mambo.
Sijui kama wapo, kwani wewe umegundua wapo?kwahio kuna watu wanajivunia kumiliki umasikini?
Yes is imaginationNi myth ausiyo bhana
Upo sahihi , mwiba kwa mwingine ni urembo kwa mmoja , mfano jamii ya wahadzabe sisi tunawaona maskini ila wao wanakula nyama kila siku na kushiba.Yes is myth
TrueUpo sahihi , mwiba kwa mwingine ni urembo kwa mmoja , mfano jamii ya wahadzabe sisi tunawaona maskini ila wao wanakula nyama kila siku na kushiba.
Ni kweli mkuuVyote endapo vikimilikiwa na watu wajinga.
Ni kweli umaskini ni chanzo Cha uovu mwingiUmasikini unaenda sambamba na mambo yote ya hovyo.
Kabisa kwa sababu kuna maskini wema na waovu ,pia kuna matajiri wema na waovu tu ,inategemeana na mmiliki wa hizo hali .Ni kweli mkuu
Hata wewe kuna watu ukisimama nao wanakuona maskini tu japo sio fukara😄Umaskini ni uchawi level ya kwanza