utajiri

  1. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Maneno Tisa Yanayovuta Utajiri

    Dunia ina mengi na unapaswa kuendana na mengi hayo. Katika kuutafuta utajiri zipo njia nyingi na ni vyema kujaribu zile zinazofaa. Tumekuwa tukisikia matajiri wengi wana siri nyingi, ni kweli kuna ambao wameua ndugu zao, wapo wanaolala na nyoka, wapo wanaolala kwenye jeneza na vioja chungu...
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  4. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe ni Fursa ya Utajiri- Hili Alina Mjadala

    https://youtu.be/2w3zUtsShD0 Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja… Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖 Hebu fikiria hii: Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Utajiri wa Stellenbosch(Johann Rupert) , Simba(MO Dewji) ni Timu ya Masikini , Huwezi shindana na Matajiri

    Nimeamua kuongea ukweli wa wazi wazi, kwanza Mjue kuwa simba ni timu ya mtu tajiri katika nchi masikini, utajiri wa Mmiliki wa Simba MO Dewji bado ni mdogo na hajafikia utajiri mmiliki wa Stellenbosch Ndugu yetu, na rafiki yetu kaburu Johann Rupert. Utajiri wa Johann Rupert ni $15Bilioni, Huku...
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana hoja. Haya makaa ya mawe yanayosafirishwa maelfu ya Tani Kila siku kwenda nje ni utajiri ambao ungetunufaisha hapa Nchini

    Nimemsikiliza hotuba yake akiwa mbambabay kabla hajakamatwa akiwaeleza Wananchi hao kuwa makaa ya mawe yanayosafirishwa kwa maelfu ya tani Kila siku kwenda bandarini kupelekwa China , India na ulaya ni utajiri ambao ungetumika hapa hapa nchi hii ingeendelea sana kwa upande wa viwanda na kukuza...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Ikitokea kila binadamu akapewa kipande cha jiwe ili basi watu wote ulimwenguni wangekua matajiri

    Hivi unajua kuwa ingetokea kila mtu angepewa kipande cha Cha jiwe hili ambalo liko Angani (asteroids) basi watu wote duniani wangekua bilionea!!! Ikitokea binadamu tukiamua kuchimba madini basi Angani Kuna jiwe kubwa lenye madini ambayo ikitokea amepewa kila binadamu kipande basi wote tutakua...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje tunalazimishana Maisha ya utajiri wakati kila mtu ana malengo yake?

    Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja. Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na kwanini isiwe elimu au watoto? Sikuhizi limezuka wimbi la vijana kukashifu ndoa hivi vijana mnakwama...
  9. SteveJr99

    JamiiForums Tanzania Kuna utajiri wa uhalali?

    Habarini wadau wa JF. Miaka ya Hivi karibuni kumekuwa na Motivation speakers wengi wakiwa na Bidii ya kuwaaminisha watu Fanya hiki au kile ili uwe UTAJIRI. Swali langu ni hili ni kweli kwamba Kuna UTAJIRI wa njia Halali YAANI yule mtu ambaye anajuhudi tu katika kazi/biashara yake/zake akawa...
  10. Jebel

    JamiiForums Tanzania Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

    Wasalaam, Je, umeshawahijiuliza njia rahisi ya kutoka kimaisha kutokana na kilimo? Basi leo nataka nikuletee jibu la swali lako. Kama wewe ni kijana mwenye ndoto za kutoka kimaisha basi pata mtaji mtamu sana kutoka kwenye kilimo hiki cha mbegu za mchicha. Hiki ni kilimo chenye gharama nafuu...
  11. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  12. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Fahamu Ng'ombe wa Maziwa Fresian – Utajiri wa Lita 15+ kwa Siku! Sawa Ya Hadi Laki 9+ Kila Mwezi

    Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na mambo muhimu unayopaswa kufahamu kabla ya kuwafuga. Kumbuka hapa tunazungumzia ng'ombe wenye uwezo...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania As of april 2, 2025, hawa ndio watu wenye ngozi nyeusi wanaoongoza kwa utajiri duniani.

    1. Aliko Dangote Utajiri: $23.9 billion | Chanzo: Cement, sugar | Citizenship: Nigeria 2. David Steward Utajiri: $11.4 billion | Chanzo: IT provider | Citizenship: U.S. 3. Robert F. Smith Utajiri: $10.8 billion | Chanzo: Private equity | Citizenship: U.S. 4: Alexander Karp Utajiri: $8.4...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu 19 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufundisha vijana mbinu za utajiri

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
  15. Bueno

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

    ...... Mods msi-edit huu uzi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Katika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete. Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30...
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Stori ya kweli ya utafutaji wa kijana aliechukia umasikini na kusaka utajiri

    Ni stori ya kweli ya kimaisha ya namna nilivyopata utajiri wangu.. Nimezaliwa kwenye familia masikini sana,na nauchukia umasikini, home tulikua tunaweza kupitisha siku nzima bila kula,au tunapiga pasi ndefu tunakula usiku tu. Nilipomaliza la saba kwa shida sana,ikabidi nianze heka heka kutafuta...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuhakikisha utajiri wa familia unaendelea kizazi hadi kizazi

    Utangulizi Katika jamii nyingi za Kiafrika, familia huanza kujenga utajiri lakini baada ya kizazi kimoja au viwili, mali hizo hupotea. Hali hii inasababishwa na ukosefu wa mipango ya urithi, elimu ya kifedha, na usimamizi mzuri wa mali za familia. Leo tunajifunza jinsi ya kuhakikisha utajiri wa...
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Kuwa Tajiri(Milionea) - Sehemu ya II(Part Two)

    Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune. Wewe unayefanya biashara...
Back
Top Bottom