utajiri

  1. Mambo muhimu ya kuzingatia unapohitaji kufanikiwa

    Wengi wetu mara nyingi huwa tunafikiri kukosa mafanikio ni matokeo ya kukosa bahati katika maisha. Fikra hizo mara nyingi, huwazuia wengi katika kufanikiwa na kujikuta wakiishia kuwa watu wa kulaumu na kushindwa kila siku. Kimsingi kitu kikubwa kinachochangia kuzuia mafanikio yetu ni baadhi ya...
  2. Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

    Elimu ni ufunguo wa maisha, Elimu ni bahari, Elimu ni nguvu. Elimu ina nguvu na uwezo mkubwa sa a wa kubadilisha maisha ya watu. Lakini pia sii kila msomi au mtu mwenye elimu kubwa ana mafanikio makubwa au utajiri mkubwa au ametimiza ndoto zake. Elimu haijasaidia kutajirisha watu wote wenye...
  3. Wanaotafuta Utajiri wa Punje za Mahindi na Jogoo, Imekaaje Hii?

    Nikiwa kwenye basi katika harakati za kuitafuta shs, tumesimama kuchimba dawa eneo linaonekana kama kijiji baada ya makambako kuelekea mafinga, ni eneo flani inaonekana kuna vyoo vya mtu binafsi ila abilia hatulipi na sijui nani anayehudumia hivyo vyoo!. Nikiwa ndani ya chumba natoa oil chafu...
  4. Mo Dewji kamzidi vipi Bakhresa kwa Utajiri?

    Ifike mahali hawa Forbes wadhibutiwe wawe na vyanzo vya ukweli kumuita mtu Tajiri zaidi Tanzania,Tunapenda Tanzania yenye matajiri kakini sio utajiri wa kusifiana usio na ukweli , Mo anawezaje kumzidi Bakhresa wakati inasemekana mali zake ni share ya familia mean za kurithi? Bakhresa ana...
  5. Utajiri wa Diamond Platnumz...

    Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz by Frumence M Kyauke. Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii tajiri zaidi. Umaarufu wake umeanza kuonekana mwaka 2010 baada ya kuachia albamu kwa jina Kamwambie...
  6. Hii ipoje, Forbes tajiri wao namba 1 duniani ana $billion 230 lakini Mohammad bin Salman ana $billion 500 na hatumsikii

    Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230. Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad...
  7. M

    Utajiri ni bahati ila kuwa na maisha Mazur sio

    Mzuka wanajamvi! Wabongo wengi tunatofautisha kuwaTajiri na kuwa na maisha Mazuri ama bora. Wataalamu wa uchumi wanasema Tajiri ni yule ambaye ana utajiri ama hela kwa anzia dollars za kimarekani million moja au kulingana na kiasi hicho. Huyo ni tajiri kwasababu ana 'financial freedom'. Na...
  8. Mbeya: Aliyemuua mkewe na kumnyofoa viungo ili apate utajiri ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemhukumu mkazi wa Kata Mjele, Wilaya ya Mbeya, Mateso Wilson (34) kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua na kunyofoa viungo vya mkewe. Mateso alidaiwa kumuua mkewe Zaina Mela na kunyofoa viungo vyake yakiwemo maziwa na masikio. Hakimu...
  9. M

    Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

    Mzuka wanajamvi! Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani. Elon...
  10. Hebu tulinganishe utajiri wa majimbo za Marekani na utajiri wa nchi za Kiafrika. Tutumie kigezo cha Gdp.

    Ulinganisho kati ya ukubwa wa Gdp za states za USA na Gdp za nchi za Kiafrika. California ina Gdp kubwa kushinda Gdp ya Afrika nzima. Hawaii yenye watu chini ya milioni mbili ina Gdp sawia na Ethiopia yenye watu milioni 110. Gdp ya Kenya ni sawia na Gdp ya New Mexico ambayo ni mojawapo ya...
  11. Utajiri wa Mark Zuckerberg wapotea kwa Dola bilioni 7 baada ya Mitandao yake kupata tatizo

    Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao, kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B. Kampuni ya...
  12. Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    THISDAY CORRESPONDENT Musoma THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial dealings surrounding the Buhemba gold mine in Mara Region. Sarungi recently came under sharp criticism...
  13. Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba

    Hello Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1790275/ Kwa kweli nawashukuru sana mlipokea ile biashara kwa mikono miwili na watu walinipongeza sana wengine kupitia ule uzi...
  14. Mbinu mbalimbali ambazo hutumiwa na watumishi wa umma, wafanyabiashara nk kuficha utajiri wao

    Wasalaam ndugu zanguni nyote. Uzi wa Leo sio wa kinoko, ila tu tufundishane mbinu mbalimbali ambazo watu hutumia kuficha utajiri wao, hasa ule ambao wameupata kinyume na tarabu, au kwa njia zisizo halali na kadhalika. Nitaleta Visa kadhaa . Kisa Cha Kwanza Kisa Cha Pili Kisa Cha Tatu Kisa Cha...
  15. Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalam wafanyao kazi

    Kwa maana jinsi hii... Utajiri wa jamii unaletwa na wafanyakazi, wakulima na wataalamu wafanyao kazi. Ikiwa watachukua maisha yao katika mikono yao wenyewe, na kuchukua bidii katika kuyatanzua matatizo badala ya kuyakwepa, hapatokuwa na shida yo yote katika dunia ambayo hawatoweza kuishinda...
  16. Ukinipora utajiri wangu tutamalizana

    Sisi sote Ni watu wazima japo kila mtu Ana uchizi wake katika ubongo.hakuna asiyechukiwa ila Kuna siri imejificha haiwezekani mtu mzima atoke tu nyumbani aende kuua watu watano. Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu Mali yangu nitaanza...
  17. SoC01 Hekima: Ufunguo Halisi wa Utajiri

    Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa anawaambia waumini wa Kikatoliki duniani kutubu dhambi zao na kuomba. Lakini Mwalimu wa Kiyahudi (Rabbi)...
  18. Zile stori za Tanzania ina utajiri wa rasilimali nyingi ni uongo, au kuna shida mahali?

    Tokea tunakua tukisikia Tanzania tuna rasilimali nyingi sana, lakin tokea inchi imepata uhuru hizo rasilimali zimeshindwa kuwa msaada kwa wananchi Mfano nchi za kiarabu Kuna rasilimali ya mafuta tunaona jinsi gani zilivyowasaidia, nchi kama south Africa na Botswana tunaona dhahabu na almasi...
  19. M

    SoC01 Kilimo cha Alizeti ni Utajiri

    PATA FAIDA KUBWA KUPITIA KILIMO CHA ALIZETI. KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA AROBAINI (140,000) KWA HEKALI MOJA NA KUPATA ZAIDI YA MILLION MOJA NA LAKI NNE (1400,000/=) KWA SIKU TISINI (90). Ndugu Wapendwa hapana shaka ya kuwa mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa la Tanzania.Ikiwa ni...
  20. C

    Utajiri ulio baharini

    ‌Utajiri wa baharini:Dhahabu imejaa baharini kwa sababu ya kuzama kwa meli kadhaa za kale ‌Kuna mali ya thamani ya mamilioni ya dola inayoharibika katika bahari mbali mbali duniani . Mali hiyo ni pamoja na maelfu ya tani za dhahabu na vito vya thamani ambavyo vilizama pamoja na meli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…