Hii ipoje, Forbes tajiri wao namba 1 duniani ana $billion 230 lakini Mohammad bin Salman ana $billion 500 na hatumsikii

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Wadau mimi ni mmoja ya watu ambao japo sio wafuatiliaji sana lakini kuna kitu sijaelewa kwa mujibu wa Forbes bilionea Mmarekani mwenye asili ya South Africa, Elon Musk ndiye binaadam mwenye pesa zaidi dunian US dollar billion 230.

Lakini juzi nimesikia mmiliki mpya wa Newcastle United Mohammad Bin Salman wa Saudia Arabia ana dollar za Kimarekani billion 500 wala sijawahi kumsikia Forbes wakimgusia hata kwa top 10000 yao hii sasa imekaaje?

Na sahihi wako na mpango wa kutengeneza city ya Niom huko Saudia kwa mabilioni ya dollar halafu hawaringi wallaaaaah.

How this happened on earth via crestus magori
 
Watu wenye affiliate na politics,drugs etc hawawekwi...lakini pia mtu huwekwa kwa ridhaa yake mwenyewe,wengine hawataki
 
kuna totafuti ya mali binafsi na mali ya kampuni ambayo mtu ni majority shareholder. Na ni 320 B sio 500B

Collective wealth inamaanisha hizo hela sio zake pekee yake.
1635327863811.png


1635327832667.png
 
Back
Top Bottom