utajiri

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote linapokosa kiongozi mwenye msimamo thabiti na madhubuti raia wake huangaika hata kama kuna utajiri wa rasilimali

    Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana. Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu. Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

    UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K. Anaandika, Robert Heriel. Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha jinsi alivyokuwa mjinga na asiyeweza kufikiri sawia. Kama nikiulizwa hivi leo sababu gani...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kumbe deni linastahimili kutokana na utajiri wa mali kama madini, gesi

    Hakika kweli mabeberu wanatufanyia timing tu waafrika na watakaa tena kama walivyogawana makoloni safari hii watafanya minada kwa nchi za Afrika zikifikia madeni ya trillion zaidi ya 100. Tuendele kukopa kulipa mishahara minono na magari ya kifahari !!
  4. aka2030

    JamiiForums Tanzania MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa. Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

    Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza. Kuna mashoga kadhaa...
  6. ALLENGRACE ADIEL

    JamiiForums Tanzania SoC02 Siri ya wasanii na wanamichezo kuwa na utajiri mkubwa kuliko wasomi wa vyuo vikuu na maprofesa

    "SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA" ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA. Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Soka ni biashara ni ajira ni uchumi ni utajiri lakini Watanzania tumelala usingizi wa pono

    .
  8. D

    JamiiForums Tanzania Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Elon Musk azidi kujiimarisha kwa utajiri duniani

    Kupitia orodha mpya ya Matajiri wa Dunia ya Bloomberg Billionaires Index, imeonesha nafasi kubwa na kiwango cha fedha alichowazidi matajiri wengine.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Aibu sana tajiri msomi kama Mengi kushindwa kuandaa succession plan ya utajiri wake. Bakhressa hana elimu ila ameweza

    Habari wadau. Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi. Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo. Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  14. Tape measure

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari na Fursa za utajiri kwenye Teknolojia ya Intaneti

    Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama kijiji. Kila vumbuzi zina madhara yake kwa kuwa kitu kinapokuwa kigeni huendelea kutumika na matokeo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji hukusanya vifuko vya nondo wa hariri ili kupata utajiri

    Wanakijiji wa Huanghe, Mkoa wa Guizhou, China, wanakusanya vifuko vya nondo wa hariri. Katika miaka ya hivi karibuni, tasnia ya kilimo cha majani ya folium mori na kufuga wadudu wa Hariri imeendelezwa kwa kasi, na zaidi ya wenyeji 1,000 wametajirika kupitia kilimo hicho.
  16. system hacker

    JamiiForums Tanzania Mbona nyuzi za utajiri zinaletwa zaidi na watu maskini badala ya kuletwa na watu matajiri?

    Yaani wanaotoa elimu zaidi jinsi ya kupata utajiri ni watu maskini hahahahaha. Kwa nini watu matajiri wasitoe nyuzi za jinsi ya kupata utajiri na kuondokana na umaskini? Halafu nao maskini watoe experience yao kwenye umaskini? Sasa, unamkuta maskini ana full info za utajiri na umaskini at the...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Askofu: Hakuna Utajiri wa Maombi

    Habari Kamili ya hii taarifa ipo katika Ukurasa wa Tatu ( 3 ) wa Gazeti la MWANANCHI la leo. Wewe haujawahi hata Kushika ( Kumiliki ) Tsh 50,000/= tu 24/7 Unafululiza kwenda Maombini kutaka Mungu akupe Utajiri.
  18. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Njoo tufanye kazi pamoja. Usilalamike kama unajua upo potential. Utajiri upo hapa

    Wadau. Mimi nimepambana nmeweza kufungua Kampuni ambayo itakuwa inajihusisha na Usafi wa Maofisini, Vyoo vya Public, Kwenye Viwanda na Majumbani. Kampuni tayari 1. Inatambulika Brela 2. Ina TIN Number (TRA) 3. Ina Leseni ya Biashara 4. Ofisi nimeanzia hapa hapa home kwanza. Sasa kama unadhani...
  19. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza chuo afanye nini awe Tajiri

    Habari.. Mimi ni kijana ninafanya kazi kwa shirika Mkataba wangu unatarajia kuisha mwaka huu mwezi wa 12. Naombeni Wanajf tuambizane biashara ipi kwa kijana anaweza kufanya na kuingiza Faida kubwa na akasahau issue za kuajiriwa...
  20. safuher

    JamiiForums Tanzania Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

    Tokea zamani nimekuwa siamini msemo unaosema kwamba utajiri unahitaji uvumilivu,subira,kupitia magumu nakadhaalika. ninachoamini ni kwamba utajiri sio mgumu kupatikana ni rahisi lakini huwenda njia zake hizo watu hawazijui(zina siri) Tukumbuke kuwa kitu kuwa rahisi haina maana kwamba watu...
Back
Top Bottom