utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Utafiti na Vithibitishi vya Uwezo wa Kusafiri katika Muda (TIME TRAVEL)

    Jambo hili wengi tumezoea kuliona katika Movie nyingi na hudhaniwa kuwa ni jambo la kufikirika, Lakini kwa miaka ya karibuni kumekuwa na maneno mengi sanaa juu ya uwezo wa kusafiri katika muda. 1. Ufunguzi wa Daraja la SOUTH FORK 1941 Kama tunajua kwa miaka hiyo bhana vitu vingi vilikuwa...
  2. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa tamwa Zanzibar wabaini kasoro, ufanisi mahakama maalum ya udhalilishaji zanzibar

    ZANZIBAR SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki hasa kwa kesi zinazohusu watoto ili kuwa rafiki kwa wanaotumia mahakama hizo na kuwezesha upatikanaji wa haki katika...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Utafiti: JamiiForums inaaminika sana. Watu huwa huru kutoa maoni hata kukiwa na sheria kandamizi

    Utafiti uliofanywa kwa ushirikiano wa Sabancı University, Nukta Africa, Utah State University na University of Pennsylvania. Umebaini kuwa mbali na uwepo wa sheria kandamizi watanzania huendelea kutoa Mawazo yao kwa uhuru ndani ya JamiiForums. Utafiti huu uliofanywa na Fatih Serkant Adiguzel...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaoishi kwenye nyumba za kupanga wanazeeka haraka

    Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Essex na Chuo Kikuu cha Adelaide nchini Australia umebainisha kuwa kukodi nyumba kutoka kwa mtu kibinafsi au kampuni binafsi kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka kwa asilimia 100 kulinganisha na wanaomiliki nyumba zao wenyewe. Njia hili imeonekana...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo Kuu la Kizazi cha Kupambana Kimaendeleo, Kujinyima na Kivumilivu haliwezi kuanzia huu Utafiti wangu Binafsi?

    95% ya Watoto wa Kitanzania hasa waliozaliwa kuanzia mwaka 1990 hadi leo (sasa) wanapenda zaidi Kula Ubwabwa (Wali) na Kuuchukia kabisa Ugali (GENTAMYCINE ninaoupenda) uliotukuza Kaka na Dada zao Geniuses tuliozaliwa kuanzia 1989 kurudi nyuma. Wazazi wa sasa nawashaurini kwa nia njema tu...
  7. GodfreyTara

    JamiiForums Tanzania Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa baadaye

    .Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata umaarufu katika sayansi na viwanda kwa zaidi ya karne moja. Lakini, je, wewe unajua kwanini gesi hii...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa leseni ya utafiti wa madini pl/6973/2011 iliyokwisha muda mwaka 2020, baada ya agizo la Doto Biteko kupuuzwa

    Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited. Leseni hiyo ya utafiti...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utafiti Binafsi: 85% ya Wanawake ( hasa Masista Duu ) wa Dar wanalala Sakafuni Walikopanga na hawana kabisa Vitanda

    Sasa hizo Hela mnazohongwa huwa mnazipeleka wapi Dada zetu hadi mnatutesa hivi tukija Kulala nanyi Mlikopanga? Kumbe ndiyo maana hata tukiwaombeni Kuwatembeleeni mlikopanga mnakataa? Nimesikitika mno kwani unakutana na Mdada Mremho, Kavalia vyema na Kajipulizia Pafyumu Kali kumbe akirejea...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu kaumbwa ili kugombea penzi (utulivu siyo asili yetu)

    Huo ndiyo ukweli kubali au kataa haibadilishi ukweli huo! wale wataalam wa sayansi wamelithibitisha hilo kwa kusema "Like charges repell and unlike charges attract" binadam kaumbwa kugombea penzi kama ifuatavyo! mfano! Mwanamke mtilivu ikitokea kaombwa kuolewa na mtulivu mwenzake huwa...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kazi 8 zinazoongoza kwa kuchochea Msongo wa Mawazo

    Kazi zenye msongo wa mawazo zinaweza kutofautiana kulingana na mazingira ya kazi, utamaduni na hali ya uchumi katika maeneo tofauti barani Afrika. Hata hivyo, kuna kazi kadhaa ambazo zinaweza kuwa na uwezekano mkubwa wa kusababisha msongo wa mawazo kutokana na shinikizo la kazi au mazingira...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kucheka miongoni mwa tiba ya ugonjwa wa moyo

    Utafiti uliofanyika nchini Brazil umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10. Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Porto Alegre ukiongozwa na Daktari bingwa wa moyo, Profesa Marco Saffi uligundua kuwa tiba ya kucheka inaweza kusaidia...
  13. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Kuhusu APP za Mikopo

    Ninawasalimu wote katika Jumapili hii Njema, na tulivu. Naomba nisipoteze mda na niende kwenye mada moja kwa moja. Baada ya kuwa napata matangazo ya App za mikopo, nikaamua nifanye ka utafiti kadogo kuona zinavyofanya kazi. Kwa kipindi cha Miezi 2 nili download up 10, na nikakopa na kurudisha...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
  15. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Ni utafiti gani ambao Tanzania tumewahi kufanya ukatambulika duniani?

    Nimekaa nikawaza, leo nchi kama India, Japan, Urusi, Marekani zinapigana vikumbo kuingia mwezini! Je, sisi Watanzania ni tafiti gani tumewahi fanya hapa duniani? Je, katika bajeti ya serikali ni kiasi gani kimetengwa au kimewahi kutengwa kwa ajili ya tafiti? NB: Naongelea tafiti ambayo...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Watanzania Mungu wetu ni mmoja, tena mwenye nguvu na wa kweli, ila wenyewe hatujui tu

    Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu.. binafsi nimekuwa msikilizaji, mfuatiliaji, mtafiti na mchunguzaji wa kila kilichopo au kinachotokea katika nchi yetu. Katika kusikiliza, kufuatilia, kutafiti na kuchunguza huko, nimeweza kugundua kwamba Tanzania tuna Mungu mmoja, mwenye nguvu na...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania CCM imfanyie utafiti Katibu wake wa wilaya ya Hai huko Kilimanjaro, anadaiwa hajui kuandika matokeo yake siri za chama ziko mitaani

    Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika. Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti wa Infotrak: Wakenya wengi wanahisi nchi inaelekea pabaya

    Utafiti huo umetokana na kazi iliyofanywa na Taasisi ya Infotrak kati ya Julai 3 na 8, 2023 kwa kuchukua kura za watu 2,400, ambapo 15% ya kura zimesema Nchi inaelekea pazuri wakati 12% wao wamesema hawajui kama Nchi inaelekea pazuri au pabaya. Asilimia kubwa ya waliopiga kura kuwa Nchi...
Back
Top Bottom