utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

    Baada ya kuona Corona inawachakaza wazungu vibaya mno, wanasayansi wao wameamua kufanya mipango ya kuja kuwatumia wa-Afrika weusi kama ‘guinee pigs’ (panya wa majaribio) kwa kisingizio cha kuja kutoa chanjo, kumbe lengo ni kufanyia utafiti hizo chanjo kuona ipi ina madhara na ipi inafanya kazi...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar: Barabara ya Jangwani yafungwa kutokana na mvua zinazoendelea

    Njia ya Jangwani imefungwa kuanzia saa 10:15 jioni kutokana na mafuriko kwa mvua inayoendelea kunyesha katika Jiji la Dar es Salaam Wasafiri wanashauriwa kutumia usafiri mbadala ikiwemo daladala mpaka Morocco kwa wale wanaotokea Posta kwenda Kimara. Wakifika Morocco wanaweza kuendelea na...
  3. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Utafiti mpya wa kisayansi wa Covid19 – Msaada mkubwa wa kujikinga na kuzuia maambukizi kwa wengine

    Watafiti wa vyuo vikuu na taasisi kadhaa za utafiti wa magonjwa ya mlipuko nchini Marekani, wamechapisha utafiti mpya wa kimaabara unaotoa mwanga mkubwa wa namna virusi wa Covid19 wanavyasambaa na kuambukizwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine (UKO HAPA). Kwa kuwa sio kila mtu anasoma machapisho ya...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa maradhi ya homa ya mapafu corona virus duniani kote

    Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Homa Kali ya Mapafu naosababishwa na Virusi vya Corona unaoenea kwa kasi duniani, Tanzania sio kisiwa Naomba wote tufanye yafuatayo ili kuchukua hatua mapema: 1. Wahi kununua Mask kwa familia, mlipuko ukianza hizo Mask hazitaweza kupatikana kiurahisi 2. Nunua...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mimba Kutunga Nje ya Mfuko wa Uzazi (Ectopic Pregnancy)

    Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama...
Back
Top Bottom