ushawishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini kila mwenye mamlaka na ushawishi huko Guinea ya Ikweta anaitwa Nguema?

    Hivi Nguema ni jina au title? Msaada tafadhali..
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hongera Evelyn salt Kwa kuwa Miss JF2024: Mwanamke mwenye mvuto na ushawishi JF 2024

    Habari Wakuu! Hii wengi walitaka itokee, kipekee imetokea. Wakati Wengine wakimuita Miss pokea Simu Mimi namuita Angeline Jolie wa JF. Star àmbaye Bongo movie imekosa Vionjo vingi vya kimataifa Kutoka kwàke. Mwanamke mwenye mvuto zaidi na mwenye ushawishi ikibidi kuliko wote JF Kwa Mwaka...
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Basi lenye ushawishi na uhakika wa kusafirisha mizigo midogo

    Nina muda kidogo nimekuwa mteja wa mabasi kwa kusafirisha vifurushi na mizigo midogo kutokea Arusha kwenda Dar na Morogoro, nimebaini mapungufu mengi na ubora wa huduma kati yao, the best nime baini ni kampuni ya BM ni seme kwanini: 1.Wao hawalazi mizigo na vifurushi endapo kuna basi la...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ruvuma na Songea wameonesha nguvu na ushawishi mkubwa wa CCM na Rais Samia!

    Itoshe kusema Ruvuma, Songea na viunga vyake wameidhihirishia nchi kwamba CCM ndio tegemeo la uongozi wa nchi hii, na Dr.samia Suluhu Hassan ndio tumaini pekee la uongozi wa juu nchini Tanzania kuelekea 2035. waTanzania katika makundi yao, wazee wa kimila, vijana na watoto, wakulima, wafugaji...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe jibu hoja za Mchungaji Msigwa, acha kumtisha. Umepoteza ushawishi kwa Watanzania

    Wanaukumbi. MBOWE KATAPIKA MAPEMA SANA WAKATI KAZI NDIYO INAANZA NI KICHEKESHO sana kwa Mbowe ambaye ni kinara wa kuropoka kauli za hovyo na za uongo juu ya CCM ,serikali na Rais Samia ambazo wangeamua kumpeleka mahakamani basi angekuwa na kesi mpaka mahakama ya mwanzo Buguruni kwa kuwa...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

    Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi.. Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa G7 wapungua kutokana na vitendo vya kinyume na mkondo wa zama

    Mkutano wa kilele wa G7 umefungwa hivi karibuni huko Puglia nchini Italia. Taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo kwa mara nyingine tena imekashifu China katika masuala mbalimbali bila ya msingi wowote. Kuhusu migogoro kati ya Russia na Ukraine na kati ya Palestina na Israel, msimamo wa kundi...
  9. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Nataka kutumia ushawishi wangu kusababisha uhaba wa chumvi nchini

    Nataka packet 1 ya chumvi iuzwe Elfu 7 na chumvi iwe bidhaa adimu. Muda wa umaarufu wa sukari umekwisha, sukari si muhimu kama chumvi. Nikileta uhaba wa chumvi mtanyooka si mijini wala mashambani.
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushawishi mkubwa kisiasa CHADEMA

    Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema, ndoto, hulka za uongozi. Kwa hali halisi ya kisiasa wakati huu, na kwa nguvu na uwezo wao binafsi, ni...
  11. instagramer

    JamiiForums Tanzania Nani ni maarufu sana eneo unaloishi? Nini chanzo cha umaarufu wake?

    Katika Kila mtaa hua Kuna mtu mmoja ke au me anakua na umaarufu Mkubwa Sana na nguvu ya ushawishi either kwa mabaya au mazuri. Anaweza kua mcheza mpira, kibaka, Malaya, bondia, mwanasiasa, mfanyabiashara, tapeli, mchawi au vyovyote vile. Mi naanza na huyu.. Hapa Nyakato bana Kuna jamaa mmoja...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Usalama wa Wanahabari na Watu wenye Ushawishi

    Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA. Warsha hiyo ililenga kuangalia...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waafrika waliopo kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi duniani

    Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi. Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto, kuwa makini kama umezaa na mwanamke ambaye hauishinaye

    Kwa wewe ambaye umezaa na wanawake/ mwanamke ambaye hauishinaye inakupaswa ufahamu wamama wananguvu kubwa ya ushawishi kwa watoto kuliko wababa. Kama hauna maelewano mazuri na huyo mwanamke uliyezaanaye usitegemee watoto watakuja kukutambua. Nafahamu sio wababa wote ambao hawatoi huduma...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000

    Nimeshangaa sana kiongozi mkubwa kutumia fedha kufanya ushawishi na kampeni wakati huo huo ulikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha ya hao wanaopokea fedha hiyo kwa kuandaa mazingira rafiki ili uchumi wao uweze kukua! Fedha hiyo ingetumika kujenga masoko mazuri na miundombinu bora ili kina mama...
  16. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

    Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi.. Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lissu: Baada ya Nyerere aliyefuatia kwa ushawishi alikuwa Lowassa

    Tundu Lissu amefika kwenye Msiba wa Lowassa kuhani na kuwapa pole Wafiwa , ambapo amemmwagia sifa Lowassa na kuzungumza kwamba baada ya Nyerere Lowassa ndiye Mwanasiasa aliyefuatia kwa Ushawishi . Amedai kwamba wanasiasa wengi waliokufa na hawa waliopo walipata umaarufu baada ya kuwa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
Back
Top Bottom