ushawishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni njia mojawapo ya kujionesha ili upate ushawishi wa kumtapeli mpokeaji

    MSAADA ni kiasi au idadi ya kitu ambacho kinatolewa kwenda mtu fulani ambaye huonekana kuwa anauhitaji wa hicho kitu hivyo msaada kwa maana ya haraka kuwa ni njia ya kujionesha kuwa unatoa fungu fulani ili kupata ushawishi kwa lengo au watu fulani mara nyingi tumezoea kuona wanasiasa wakitoa...
  2. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa, Mbunge wa Busega Bwana Simoni Songe amewahonga wajumbe 800 kila mmoja elfu thelathini kama ushawishi wa kuja kuchaguliwa

    Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25 kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  4. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake. Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi. Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

    Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote Wadiz
  6. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Nasikia ushawishi wa kutaka kujiua

    Sauti inakuja kichwani jiue....!!! Sielewi ila napambana nayo kweli. Biashara zikigoma inaniambia jiue. Mahusiano yakigoma inaniambia jiue. Maisha yakibana jiue..... Matarajio yakifutika jiue.... Makwazo yakitokea jiue... NA HII SAUTI IKISHINDA BASI MTU HUJIUA KWELI BILA SABABU YOYOTE YA...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

    Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote. Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii? Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama issue ni kuiwini Kanda ya ziwa basi mtu mwenye ushawishi ni Luhaga Mpina

    Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau. Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo. Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote. Lakini kama issue ilikuwa ni...
  9. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haiji kupata tena nguvu ya ushawishi kama iliyokuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika uchaguzi ule utabaki katika historia ya wengi sana,utabaki kama ukumbusho wa kilele cha mafanikio ambayo upinzani ulikuwa umefikia katika kuteka mioyo ya watu,ulikuwa ni wakati ambao upinzani ulikuwa hata ukitangaza asubuhi kuwa mchana kutakuwa na mkutano watu...
  10. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Serikali, tumieni watu wenye vipawa vya ushawishi kutoa elimu kwa watu kabla ya kuchukua maeneo yao

    Ili kuepusha sintofahamu,tafrani na migogoro ya Ardhi isiyokuwa na Tija, Serikali tumieni watu wenye vipawa vya Ushawishi na kuongea Ili watoe Elimu na kujenga ushawishi Kwa watu na kuepusha tafrani. Ukimsikiliza huyu Jamaa hapa chini anaongea huko Songea mbele ya Wananchi waliochukuliwa maeneo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Kanisa Katoliki: Je huu utakuwa mwisho wa ushawishi wa taasisi hii kubwa?

    Kwa miaka mingi kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi wa namna yake ndani ya nchi. Wakiongea wao, basi jua wamemulika ukweli na uhalisia wa kile wanachokiongea. Juzi baraza la maaskofu limekuja na waraka ambao unatia walakini kidogo, umekaa kisiasa zaidi tofauti na uhalisia. Ikitokea...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko kuleta Utawala Bora

    MABADILIKO KULETA UTAWALA BORA Mabadiliko, ni hali ya kutoka hatua moja ya chini kwenda juu kuna aina nyingi za mabadiliko ila kuu ni mosi binafsi yaani mtu mmoja mmoja na pili mabadiliko kitaifa nchi kwa ujumla kutokana na hali ya kawaida kwenda kwenye hatua bora, mabadiliko mazuri ni ya...
  14. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu SUZA: Ili Wanawake washinde Uongozi lazima wazielewe mbinu za kujenga Ushawishi Kisiasa

    Na Gaspary Charles WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali. Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
  15. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Kisaikolojia zinazoweza kukusaidia kushawishi na kukufanya ukafanikiwa katika kitu chochote

    Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana. Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa nakukubali kama nawe unavyonikubali hapa JF, ila Hoja zako za leo hazina Ushawishi wa Kuaminika

    Nakuomba tu Mzee wangu achana na hao Wanaokudanganya na Kukutumia ili Kumtikisa Rais Samia na Serikali yake kwani ukishayafanikisha Malengo yao Watakutupa hovyo kama zitupwavyo Condoms zilizokwisha tumika. 75% ya Hoja zako ulizozitoa Leo zinajichanganya mno Kimafikirio kiasi kwamba Mimi mwenye...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Safari ya Afrika: Jinsi Uturuki inavyokuza mahusiano na bara la Afrika

    Ushawishi wa Uturuki barani Afrika hii leo, unahusisha sekta mbalimbali, huku Ankara ikiliunga mkono bara la Afrika kama sehemu yake ya sera za kigeni. Tukur ni miongoni mwa takriban wanafunzi elfu 10, wengi wao kutoka Afrika, ambao wamenufaika na ufadhili wa masomo kutoka Uturuki katika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ukitatuliwa kwa ushawishi wa vyombo vya dola tutakuwa tunaahirisha tatizo

    Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi. Siku dola ikipewa jukumu la kuimarisha usalama biashara zifanyike usiku na mchana nchi itapiga hatua. Lakini...
  19. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa madhehebu wana ushawishi mkubwa?

    Katika masomo yake ya tabia za kitamaduni, Dk Stein amegundua kwamba viongozi ni watu wenye mvuto ambao mara nyingi hutokana na uzoefu kama huo ambapo walijifunza jinsi ya kutumia mbinu za ushawishi kukusanya wafuasi. "Wanajifunza hila na kuendelea wakati wanapofikiri wanaweza kufanya mambo...
  20. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

    Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka. Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda...
Back
Top Bottom