Kuna Mtu tokea akiwa Masomoni Chuo Kikuu niliambiwa kuwa alikuwa ni Mhuni ( Mpenda Ngono hovyo hovyo ) nikawa bado mgumu Kuamini.
Mtu huyo huyo tena akaniambia kuwa Mwanaume aliyenae sasa siyo wa Kwanza kwani alishakuwa na mwingine ila walishindwana kwa tabia yake ya kupenda Uhuni ( Ngono ) na...
RULE NO. 5; USIOMBE USHAURI KWA ALIYESHINDWA.
Ni Yule, Robert Heriel
Watu wengi wanaoniuliza kuwa Kwa nini nimepunguza kuandika Mtandaoni nimeona niwajibu Kwa pamoja hapa; Namalizia kuandika kitabu ambacho kitakuwa cha manufaa Kwa kizazi hiki mpaka kizazi kijacho.
Haya nirejee kwenye ujumbe...
Habari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?
Kwa...
Wakuu nilikua naombeni ushauri nina PC nilitaka ku update kwenda window 11 tatizo ni storage ina ssd gb 30 na HDDgb 500 je naweza ifanya HDD kuwa ya window na vip faida zake na hasara za kuachana na SSD iliyotoka na window
Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari.
Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu hapa kachaguliwa kwenda kusoma MD UDOM na UDSM. Amekuja kuniomba ushauri ni wapi anatakiwa kuconfirm, naombeni ushauri wenu kulingana na exposure yenu kwa hvyo vyuo na coz tajwa.
Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu.
Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
1. Ninashauri bodi ya mikopo ya elimu ya juu isikie ushauri uliotolewa na Mheshimiwa waziri wa wizara ya mawasiliano juu ya matumizi ya TEHAMA.
Achaneni na mambo ya kuwaomba waombaji wa mikopo watume maombi ya mikopo kwa njia ya Posta ikhali bado waombaji wameshawatumia kwa njia ya...
Habari zenu wakuu,
Katika kutafuta mishe za kazi nimefikiria kutua mwanza kufatilia kazi kwenye mradi wa reli. Naombeni ushauri niende nikajitose au namna kwa sasa nipo Dsm.
Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa na kazi ya miezi mitano mkoani Kigoma. Nikiwa huko nilikutana na classmate na roommate wa chuo niliyesoma naye miaka ya nyuma DIT.
Tulipiga stori za hapa na pale, tukazoeana kiasi. Akajitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye shirika la misaada, na pia...
Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea yanastaajabisha sana,yalipigiwa sana kelele huko kabla, yanakuharibia sio kidogo na kadri muda unavyozidi kwenda yanazidi kukuharibia.
Ushauri unapata kutoka sehemu mbalimbali, kuna wanaokupa kukusaidia na wanaokupa kukuharibia japo inaweza kuonekana kwa...
Yamkini yalikuwa kwa ajiri yako wewe, unayesoma ujumbe huu.
Au kama siyo wewe basi rafiki yako, na kama siyo rafiki yako basi ni ndugu yako.
Na kama hao wote hayawahusu ila kuna kitu utajifunza.
Ili ukawafunze wengine.
UJUMBE HUU NI KWA AJIRI YA WANAWAKE
Ila kwa kuwa hakuna mwanamke bila...
wakuu habarini za saa hizi?
Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo.
1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE).
2: bachelor of sciences in computer system and network pale ARDHI UNIVERSITY.
wakuu kwa kuangalia uwanja wa ajira (kujiajiri/kuajiriwa), ni kozi gani ni...
Nahitaji ushauri juu ya brand nzuri ya magodoro ya kulalia, nahtaji kununua godoro la inch 8 au 10 kwny kitanda cha 5x6 ila ambalo ni mkataba kabsa linadumu kwa mda mrefu.
Na je ni vitu gani vya kuangalia wakat wa kuchagua godoro zuri.
Assalam wanajamvi!
Niende moja kwa moja kwenye hoja, kwa wiki kadhaa sasa nimekua nikifuatilia media ya Wasafi hasa TV kiukweli bado vipindi vyao havijakaa sawa.
Mwanzo walipokuja watangazaji nguli nilijua content za pale zitabadilika, lakini kumbe na mimi nilikuwa na mawazo ambayo hayakuwa...
Zamani enzi zetu tukisoma pale ferru tulivuka kwa shilingi 20 tu kutumia mitumbwi.
Serikali ikaleta MV Magogoni na baadae Mv Kazi na mv Kigamboni.
Hivi vivuko Kigamboni kina injini 4 lakini mara nyingi wanawasha mbili tu na kufanya kutumie dakika 20 ndani ya maji.
Kero:
wameleta mfumo wa...
Mdogo wangu amejikusanya na kununua kauwanja anakotaka kujenga nyumba ya kuishi ajabu wakati mafundi wanachimba msingi wamekutana na bomba kubwa la maji hali ambayo hatukuitarajia!
Wadau tunaomba ushauri wa kisheria wa nini kifanyike
1. Kukosa kujiamini au kutojiamini.
Mara nyingi usipotambua mapema kuwa ndani yako ni mfanyabiashara. Huwa anakua na wasiwasi wa kuanzisha biashara yeyote. Lakini kuna njia nyingi za kupitia kabla haujaanza biashara. Na pale unapokua hauna wazo la kibiashara ni lazima upitie njia izo ili upate...
Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima.
Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover.
Kutokea Mwenge kwenda...
Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025:
1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi,
2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.