ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Midazolam

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaopata COVID-19

    Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai. Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu. Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia...
  2. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania SoC01 Huduma mbovu katika Taasisi na mashirika ya Umma, ushauri na mapendekezo ya namna ya kuboresha

    Utangulizi. Kumekua na malalamiko mengi pamoja na changamoto katika huduma ambazo zinatolewa kwe Taasisi na Mashirika ya serikali kama vile elimu duni katika shule za umma, matibabu duni na ukosefu wa vifaa katika hospitali za umma, taasisi za fedha, mifuko ya hifadhi za jamii,vyombo vya...
  3. Candela

    JamiiForums Tanzania Ushauri wana jamii

    Nataka kuoa ila mwanamke nilienae pasua kichwa sana. Nafirikia nimiache nitafte mwingine ila nahisi sitawamaliza na huenda huyu ni afadhali ya huyo next. Tatizo kubwa la huyu ni kuwa hataki kuona niko karibu na wanawake wengine, yaani hata nimisalimiwa na mwanamke afu akaongeza na maneno mawili...
  4. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Tufute vyama vyote vya siasa tuanze upya.

    Tuanze na CCM chama ninachokipenda. Yaani CCM, ilikua mbovu kweli wakati mimi nakua. Siku zote hizo nilikua najipa moyo kwamba ndani ya CCM kuna watu wazuri na tutajirekebisha tu mimi mwenyewe nikiwemo. Alipoichaguliwa Magufuli nikaona chama ndo kimepoteza muelekeo kabisaaaa, lakini watu...
  5. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka Ethiopia: Taifa vitani mbioni kugawanyika, kisa kiongozi kukataa ushauri

    Watsup comrades, Taifa la Ethiopia mbioni kugawanyika kama hali iliyopo isipodhibitiwa kwa hekima na busara sio miguvu tena. Vita ni kati ya majeshi ya serikali ya shirikisho ya Ethiopia chini ya waziri mkuu Abiy Ahmed na vikosi vya chama cha TPLF - Tigray People Liberation Front, katika jimbo...
  6. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Kupima COVID-19 iwe bure baada ya hapo ndio mtu akachome chanjo

    Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali: Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika. Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo? Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili...
  7. Kaka jambazi 9

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Bachelor in Roads and Railway Logistics and Management pale NIT

    Wadau naombeni ushauri kuhusu kozi ya bachelor degree in roads and railway logistics and management pale NIT. 1. kazi zake hapo baadae. Nina one ya 9 ya HGL
  8. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Nikiona kipindi kwenye TV nazima; nasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Wakuu habari za mchana, mimi siyo mpenzi wa siasa wala mfuasi wa chama chochote, huko nyuma niliwahi kufuatilia siasa nikaanza kukipenda sera za vyama vya upinzani hasa kipindi kile cha kuibuliwa kwa ufisadi wa RICHMOND, ECROW ACCOUNT, MELEMETA, TEGETA ECROW NA NK. Baada ya aliekuwa waziri mkuu...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Utumishi waache siasa kwenye kazi

    Habari za wakti huu; Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ambayo najua Ndugu XAVIER DAUDI pamoja na Waziri anayehusika na UTUMISHI pia wanayo. Utumishi wa serikali/umma ni heshima kubwa sana kwa yeyote anayepata fursa ya kuajiriwa huko. Hata ni ukweli usiopingika kwamba sio kila mtu ana sifa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Ford Escape XLT 2008

    Habari wadau wa jamiiforums, Nimetokea kuipenda hii FORD ESCAPE XLT 2008, hizo chini ndiyo specs zake naombeni ushauri juu ya mafundi, spares na changamoto za gari hii. Thanks. SPECS LOCATION YOKOHAMA Mileage Year Engine Trans. Fuel 121,307 km 2008/7 2,260cc AT Petrol Max.Cap...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri na muongozo wa kazi za viwandani

    Habari ndgu zangu, Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu. Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI. Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Binamu Bananga: CHADEMA tunakutana kujadili mahojiano ya Rais Samia na BBC ili kujibu nini? Nasisitiza tusikurupuke

    Ushauri aliotoa Binamu Bananga kwa CHADEMA kuhusu Mahojiano ya Rais Samia na BBC Makamanda habari za jioni? Naamini wengi tumesikiliza mahojiano ya mama Samia na Kikeke, Nimeona Kaka yangu Lema ameandika Mahali kwamba Chama Kitakutana kumjibu, nimeshtuka kidogo, tunataka kujibu nini? Mimi...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nashauri ziwepo fomu maalum zinazotambuliwa na Serikali kwa ajili ya manunuzi wa vitu vidogo

    Napendekeza hili kwa sababu nayaona maafa mbalimbali yanayowapata watu kila siku hasa pale wanaponunua vifaa vyao vidogovidogo kutoka kwa watu binafsi kama simu na kadhalka. Nashauri pawepo na fomu maalum zitakazokuwa zinapatikana katika vituo vya polisi ambazo zitakuwa zikiuzwa kwa shs 5000 na...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

    Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji yao ya kuwa Maarufu Kitaifa na Kimataifa. Yaani Mtu Mmoja kafanya Upuuzi wake tokea Mwezi Septemba...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli. Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kuimarisha upinzani, CHADEMA tusikiite "chama kikuu" cha upinzani

    Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani. Nasema hivi kwasababu, matmuzi ya jina hilo yanajenga inferiority complex miongoni mwa vyama vya upinzani na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ikae meza moja na Vyama vya upinzani

    Mimi ni mtu wa kawaida na ni Mtanzania. Kesi ya Mbowe ndiyo sasa imechukua nafasi kubwa katika mijadala baina ya wanannchi, kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya ndani na nje. Sisi sote ni Watanzania na tunatakiwa tupendane, tushikamane, tuwe wamoja bila kujali itikadi za vyama...
  18. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni nzuri kwa mwalimu wa shule ya msingi?

    Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani? Ufaulu div 3.13 HGK Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ukiyafanya mambo haya saba kwa usahihi ni rahisi kutimiza ndoto zako

    Habari za muda huu watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka kukifanya, kwa...
Back
Top Bottom