ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

    Habari zenu wakubwa shkamoni Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116] mmepitia mengi nyny ndo wataalamu wenyewe naona kama picha hvi yaani daaaah msaada #yesbishoohaswaaaa
  2. phzhenry

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya huyu binti

    Kuna binti mmoja nilikuwa nadate naye kwa kipindi flani hivi, ila nikaja kuona kuwa mambo yake hayaeleweki na nikamuweka kando tena nilimwambia kabisa kwamba achukue time zake na mimi nifanye mambo yangu, ila kikapita kipindi flani baadaye akaanza kunitafuta na tukawa tunasalimiana fresh tu ila...
  3. Android

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  4. World Logistics Company

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Usiagize chochote nje ya nchi bila kujua gharama halisi za kodi na ushuru utakaolipia

    Moja ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wateja wetu ni kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao halafu kukutana na kodi/ushuru mkubwa wa kutoa mzigo pale Bandarini, Uwanja wa Ndege au mipakani. Bei za viwandani (supplier) zinazowekwa mitandaoni huwa ni rahisi na zinavutia kuagiza. Mfano bei za...
  5. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimuahidi nitamuoa mwaka huu ila bado mambo magumu, nifanyeje?

    Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu. Na binti naye kwao wameanza kumsumbua kwani alishawaeleza ana mchumba anataka kumuoa sasa home kwao mpaka sasa hivi wananisikilizia...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

    DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema. Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya gari zuri kwa kuvimba nalo hapa mjini?

    Habari wadau. Ebu tupeane ushauri ni aina gari ya gari ambayo nikiwa nayo nitavimba hapa mjini?
  8. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Lissu: Ushauri Kuwa CHADEMA ianzishe Jeshi ni wa kijinga

    Lissu, Asema Ushauri CDM Waache Siasa Za Mtandaoni Ni 'Poisoned Advice,' Asema Ushauri CDM Ianzishe Jeshi Ni Wa Kijinga, Vitu ambacho Kigogo hajasema:
  9. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Habari wana JF Mwanangu ni mdogo wa kiume ana umri wa miaka miwili na miezi mitatu. Lakin kila uume wake ukisimama analamika anesema anaumia na kuuvuta huku akitaka mama yake amkune. Nimempelela hospital akapewa dawa imekuwa kama kazidishwa sasa sijui tatizo ni nin. Msaada plz katika hili
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Vyama vya Upinzani

    Kuna msemo unasema "Cheka nao kula nao cheza nao"kama huwezi kupigana nao ungana nao Vyama vya upinzani na watanzania wenye kiu kali ya kutaka kuona hatima ya chama tawala hapa nchini kuna ushauri huu hapa Chini ya makada na wale wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa nchini hawana budi kukaa...
  11. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu. Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri. Kiukweli mi mgeni sana wa magari hata kuendesha si mtaalam sana ila naweza sema sijakaa na gari tu nimesota kwa miaka 8...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali msitafute malumbano na upinzani yasiyo na tija

    Raisi Samia anafanya makosa ambayo Hayati Magufuli na wapambe wake walifanya. Magufuli alifanya vitu vingine ambavyo havikuwa na tija kwa taifa. 1. Kubishana na Lissu kuhusu yeye kupigwa risasi ilikuwa haina tija. Haya ni malumbano ya kijinga kwasababu huwezi kujadili swala lililo wazi kama...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu unahitajika haraka sana

    Wanajamii habarini Naombeni ushauri Kuna Dada huku JF kaniomba nimtumie nauli anadai ametokea kunipenda sana na huwa haishi kuniota ndotoni ila anasema nimtumie nauli 1 million hajawai panda ndege Naombeni ushauri Wanajamii maana nimeshaanza kulegea nahisi nina asilimia 90% kumtumia nishaurini...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, huyu shemeji ananikwaza

    Kwanza ikifika asubuhi anatoa nguo zake nimnyooshe ili avae kwenda kazini na kinacho niuma zaidi wamekua na desturi ya kwenda kuoga bafuni (public bathroom) na mkewe (dada yangu), na wanapokua bafuni wanachelewa sana kutoka. Na wiki hii nimemuona ameanza tabia mpya ya kuwa ananiamrisha nioshe...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Serikali, Naomba Chanjo iwe lazima hatutaki kuangamizwa na wapuuzi wachache

    Tuko tunapambana kuona ni jinsi gani janga la Corona linaisha kabisa tuendelee na mambo mengine, tumechoka kuzika viongozi kila mwezi. Haya mambi ya kubembeleza watu ambao wameshaungua akili yamepitwa na wakati. Haiwezekani wengine wachanjwe wengine wakatae waendelee kusambaza maambukizi huu...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Anakaribia kurithi 300M, hajui biashara ya kufanya, je, ushauri niliompa ni sawa?

    Habarini wadau, Nina rafiki yangu ambae bahati ipo upande wake maana kiukweli linapokuja kwenye swala la uchumi wapo vizuri sana. Familia yao kiufupi wapo vizuri, kaka na dada zake wanajitegemea na wapo vizuri kiuchumi ila sasa huyu rafiki yangu kwa bahati mbaya shule ilimshinda na biashara...
  17. Twyn

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

    Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
  18. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma CPA Tanzania karibuni kwa mawazo ma ushauri

    Hello members, Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance. Karibuni tujadili mawili matatu.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kwa Wanaharakati na Wapenda Siasa na Demokrasia za 'hovyo hovyo' Barani Afrika

    Ukiamka Asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu wahi ama Kazini Kwako au Ofisini Kwako kapige Kazi ili ujipatie Pesa za Kuiendeleza Familia yako. Siasa za Barani ( sina uhakika na za Tanzania kwakuwa siishi huko ) nyingi zimejaa tu Chuki, Unafiki, Fitina na ukicheza vibaya tegemea Kutekwa au...
Back
Top Bottom