Kujificha kutumia madawa ni kama kupanda mnazi chooni, huo mnazi utaota kwa kutumia mikojo na mavi kama mbolea, kuna siku utaonekana bila kificho.
Haya madawa aidha uanze kuyatumia mwenyewe, ufundishwe ama kutumia visingizio kwamba ulishinikizwe na marafiki au uliyatumia kuondoa stress, nk...
hali ya elimu kwa sasa ni mbaya, hilo halina mjadala!
1. Ushindani umegeukia kwenye kufaulisha wanafunzi wote na kufuta 'zero'. Kutokana na hilo, suala la kukutana na lundo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika ni kawaida huku kwenye masekondari yetu ya kata. Kumkuta mwanafunzi anayeitwa...
Wamachinga ni wafanyabiashara wadogo wadogo wanaotafuta riziki zao kama wafanyabiashara wengine.
Wana familia, watoto, wajukuu ndugu n.k. Wamachinga wanashiriki pia katika kukuza uchumi wa nchi na hivyo wasipuuzwe. Katika siku za karibuni kumetolewa tangazo kuwa Wamachinga wanaopanga bidhaa...
Kwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc in History naomba mnisaidie ipi at least in uwanja mpana wa ajira hapo baadae
Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam.
Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
Nina mtoto kamaliza darasa la saba mwaka huu,anatamani sana kuhudhuria na kushuhudia simba day,
Nina uwezo wa kulipua tiketi za 30000 .
Lakini high yangu ni sijui kama utaratibu wa nafasi za kukaa ukoje?
Je tiketi zina namba kama za kwenye sinema?
Je hakutakua na vurugu,usumbufu?
Je tunaweza...
Mzee pole sana lakini chukua tahadhari hususani magonjwa ya corona uraiani yanatisha
Mshukuru Mungu kwa kukuondoa mahabusu kimya kimya usifanye sherehe
Tenga mda wako ujitenge na wageni wenye huruma za kinafiki ikiwezekana.
Fanya kama lowassa, Jiepushe na vurugu za siasa wala usicoment chochote...
Rais Mstaafu Kikwete anamsifia rais Samia kwa utendaji mzuri kama alivyofanya kwa marehemu Magufuli bila kujali machungu ya wa-TZ.
Ni tabia ya kulazimisha kutuonesha uhusiano wake na marais walioko madarakani. Wakati Magufuli akiingia madarakani, kulikuwa na marais wastaafu watatu; Mwinyi...
Yuko sahihi
Au hayuko sahihi
Ni wewe na mimi kuamua.
Yeye anakupa first hand experience.
Na kwa upendo wake anasema,
Kwa wale ambao hamjachukua hatua kama aliyochukua yeye,
STAND YOUR GROUND.
Amesukumwa na upendo tu.
Hana anachotegemea kutoka kwako.
Na sitaki kuamini kuwa anafanya hivyo
kwa...
Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia.
Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
Mpendwa rafiki yangu,
Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
Kwa kila kijana kuna haja ya kuwa na mtu wa karibu maishani anayeweza kukusaidia katika kukupa mwongozo wa maisha. Mtu huyu hufahamika katika kiingereza kama Mentor au coach?
Salaaam.
Nimekuwa na changamoto katika maisha yangu na familia yangu.
1. Nilikuwa nimeowa mke wa kwanza 1996 na kubahati kuishi kwa miaka 9 ivi na kupata watoto 3. Lakini, ikaja changamoto mke akawa ananishutumu kuwa nawatuma watu wamzalilishe, akawa anakosa amani aliamini kuwa nawatuma watu...
Niko na mpenzi wangu ila tatizo linakuja tukiwa tunanyanduana mwenza haoneshi kusikia kitu kabisa, hata ukikandamiza yote haoneshi kabisa.
Sasa hii hali inanifanya najisikia vibaya, sielewi nifanye nini ili nimfanye asikie naombeni ushauri jamani🙏🙏🙏
Naombeni ushauri baada ya muda mrefu niliamua kuresit mtihani wa form four mwaka huu hivyo nitafanya mtihani mwezi wa 11.
Nilijiunga na Open school lakini kwa sasa hawafundishi wanatoa maswali sana tu na review na mitihani wameitoa.
Hali hii inanipa usahaulifu na kunitoa concentration kabisa...
Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo serikalini.
Juzi Mama aliwaelekeza waache kubambikia watu kesi, walipoelekezwa wakafuta zaidi ya...
Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri.
Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa.
Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka...
Kuna Mtu tokea akiwa Masomoni Chuo Kikuu niliambiwa kuwa alikuwa ni Mhuni ( Mpenda Ngono hovyo hovyo ) nikawa bado mgumu Kuamini.
Mtu huyo huyo tena akaniambia kuwa Mwanaume aliyenae sasa siyo wa Kwanza kwani alishakuwa na mwingine ila walishindwana kwa tabia yake ya kupenda Uhuni ( Ngono ) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.