ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Futeni HESLB na fedha zote zielekezwe kwenye ajira mpya za graduates wa vyuo!

    Maisha yanaendelea! Maelfu ya graduates wasio na ajira yanaongezeka mtaani kila mwaka!na graduates wanashindwa kurejesha mkopo wa masomo waliotumia kusomeshwa. Muda umefika serikali ifanye Re alocation ya bajeti ya mkopo kuwa bajeti ya ajira mpya ili graduates waajiriwe na serikali nchini...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba. Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae...
  3. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

    Habarini wakuu, Samahani mimi ni mwajiriwa wa serikalini ivi karibuni, shida yangu jmn siwezi kabisa kubajeti hela. Sawa mwanzoni mwa mwezi nanunua kila kitu. Ambacho nakuwa sina labda mboga mboga hizi. Na nikasema labda nitumiage 10 per wiki kutokana na mazingira ya kijijini. Sasa yani...
  4. kwisha

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, ninapata hali ya mapigo ya moyo kwenda mbio

    Ndugu zangu nina tatizo linalonisumbua sana siku izi ambalo sikuwa nalo apo mwanzo ili kuwa ijuma ine nilipata ajali nikiwa Moyo wangu ukakata tamaa ya kuishi maana nilivyokuwa najisikia hakika ili kuwa hatari. Kwanza nilikuwa nasikia maumivu makali, pili nilikuwa nasikia kama vile moto unawaka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Sabaya ukiwa jela andika kitabu kitachosaidia wateule wenzako yasiwakute yaliyokukuta

    Kama sheria na taratibu zinaruhusu wafungwa kuandika kitabu, nakushauri utumie muda wako wa kuwa kifungoni uandike kitabu kitachoeleza kila kitu yakiwemo yale ambayo hukuyasema mahakamani (kama yapo) ili usaidie wenzako yasiwakute yaliyowakuta. Kwasababu umeshaenda jela(unless unataka kukata...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwanajamiiforum Frey Cosseny baada ya hukumu

    Napenda kumshauri kada huyu wa CCM ambaye alitumia nguvu nyingi sana kumtetea ole Sabaya kwakua walikua ni genge moja, ametishia sana watu na kujiona kua yeye ndio chama na yeye ni kila kitu. Asome alama za nyakati, kuishi kwa kutegemea kuumiza wenzako laana ya Mola haitakuacha salama. Tena ana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye Experiment yangu niliyoifanya mwezi wa tatu 2021

    Asalaam aleykum! Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba natumia asilimia ndogo sana ya akili yangu katika maisha ya kila siku wakati nina uwezo mkubwa sana...
  8. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza kanijibu ananichukulia kama kaka yake

    Kuna mdada ni mtu wa dini sana yani mtoto anaonekana katulia, huwa anakibiashara chake maeneo flani bac ile kumchangia changia mtoto akanizoea sana akanipa namba bac tukawa tunawasiliana. Juzi kati nikaamua kumtingisha kidogo nikamwambia ndoto zangu nikuja kumuoa, bac mtoto akawaka mbaya...
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania 50kms kwenye Highway: Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu

    Mimi nashauri badala ya kuongeza vibao ya 50kms/ kwenye barabara kuu Tuanze kufikia suluhisho ambalo ni kuweka vivuko vya juu au chini vya waenda kwa miguu Mfano: Barabara ya Arusha kwenda Dar; kutokea Arusha hadi Same miji inaunganika kwa kasi sana, sasa bila kuanza kufikiria suluhisho...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mashirika Mengi ya ndege Afrika yanapata hasara - ushauri wako ni upi?

    Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo. Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani Ushauri wangu; 1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Besije alienda kenya kupata ushauri wa kuendesha siasa za upinzani. Angetaka kujifunza kwetu angeambulia nini!?

    Nimesikiliza kwenye taarifa ya habari ya dw kuhusu mwanasiasa mkongwe wa siasa za upinzani nchini Uganda ambapo wamesema huenda wazo la kuunganisha vyama kumi vya kisiasa nchini uganda na kuunda muungano mpya wa kisiasa dhidi ya nrm, alilipata nchini kenya ambako alifanya ziara hivi karibuni...
  12. sam green

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mahusiano yangu

    Habari wanaJF, Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe yeye sio mwaminifu kwangu nilihisi anatembea na mtu fulani nikamuulza alibisha mimi nikaendelea na...
  13. Mr SGR

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu nina laki 5 hapa

    Mimi ni mfanyabiashara ndogo tu ya printing& stationery services sasa juzi kati nilisajili laini za uwakala mpesa, tigo pesa, Airtel money na Halopesa. Pesa ya kuendeshea hizo laini kwenye miamala niliitumia baada ya kupata changamoto kidogo za kifamilia. Sasa nina laki 5 mkononi najiuliza je...
  14. Home First

    JamiiForums Tanzania Nishaurini nirudiane naye au nimuweke awe uwanja wa mazoezi?

    Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku kadhaa kukutana kimwili. Baada ya kukutana kimwili ilibidi ahamie kwangu maisha yakasonga baadae...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Pata design, ushauri na kujengewa kwa gharama nafuu kutoka kwa wabobezi

    Habarini za majukumu wakuu. DOTLINE CONTRACTORS , Tuna kufanyia Design ya wazo la ramani/nyumba utakayo, tunakushauri kulingana na eneo unalotaka nyumba ijengwe pamoja na budget yako, tunakupa gharama za ujenzi pamoja na kukujengea. Karibu ofisini kwetu Mlimani City kwa maelezo zaidi...
  16. WOLF SEPTICEMIA

    JamiiForums Tanzania Nashukuru sana kwa ushauri wenu

    Hodi wakuu! Napenda kushukuru kwa mchango wenu wa mawazo yenu kwa kunishauri kwa upendo na wengine kuwa na hasira ila kifupi nimesaidika sana Mungu awe nanyi wapendwa ila tafadhari Sana punguzeni kutumia maneno makali na matusi kwani hayajengi zaidi unakuwa una haribu mentality ya mtu, kwa...
  17. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa uongozi wa CHADEMA

    Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu. Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu WA CCM. Maana Kwa hapa ndani wamewekewa vikwazo vingi na ilihali NI haki Yao. Pia NASHAURI...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa BAVICHA na CHADEMA; Someni Historia ya Nchi hii, mnajidhalilisha kwa wenye akili

    Habarini Bavicha na Chadema kwa Ujumla Leo napenda kuwashauri jambo la kuwasaidia kutokana na trend yenu ya kuanzisha vi thread humu kuongelea kesi ya Mbowe na kuleta nadharia zenu kuhusu watu waliokuwa Wanajeshi ambao wamedhibitiwa na vyombo vya ulinzi na Usalama Napenda kuwashauri hivi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC japo mnaniumiza Moyo kwa Matokeo yenu, ila kwa Kuwapenda Kwangu tafadhali uzingatieni huu Ushauri wangu mambo yatakaa sawa sasa

    1. Timu ipelekwe upesi kwa Mtaalam wetu ama Yule wa Zanzibar au wa Morogoro na achaneni na hawa wa Mikoa mengine kwa Wanatumika vibaya na Maadui zetu. 2. Utaalam wa Kutumia Makafara ( hasa ya Damu ) tuachane nayo na sasa turudi katika ule Utamaduni wetu ambao Marehemu akina Mzee Bamchawi na...
  20. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Habari za asubuhi JF people? Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha. Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya: Kwa kila shilingi...
Back
Top Bottom