Habari!
Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time.
Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food Nutrition and Dietetics lakini vigevo vyao vya kuchaguliwa ni GPA kuanzia 3.5 ambayo sina.
Je, kuna namna gani naweza kufanya niweze kuchaguliwa Open university of Tanzania?
Kuna vyuo gani vizuri vya nje inavyotambulika na TCU vinavyotoa kozi nzuri za afya kwa njia ya masafa?