Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
918
1,994
IMG_20220601_170950_240.jpg

Watu wa Soka,

Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).

Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote kwa sapoti mliyotupatia tangu tukiwa tunaitwa DTB FC. Nawashukuru pia wanahabari na wadau wengine . Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.

Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakayonisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).

Simu/WhatsApp: +255 713 475715

Karibuni sana.
 
View attachment 2263057

Watu wa Soka,

Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).

Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote tangu tukiwa tunaitwa DTB FC, wanahabari na wadau wengine kwa sapoti mliyotupatia. Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.

Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakanisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).

Simu/WhatsApp: +255 713 475715

Karibuni sana.
Kikubwa ni kwamba msiwe bahiri kwenye issue ya usajiri........wekeni uongozi Bora usio na janja janja kwenye mambo ya usajili......huyu mtoto wa mjomba ....hairusiwi

Chamwisho

Msije kuwaiga MAKOLO.....mambo ya ushirikina .....mtapotea

KARIBUNI MJINI NBC PREMIER
 
Mwendelezo uwe ni ule ule, msibweteke na kuijiona mmeshafanikiwa,as team jitahidini mno muwe na timu za under 17yrs&21yrs, muwekeze sana huko ili ziwe feeder kwa wachezaji wa first team, kuweni na scouts wazuri hasa ndani ya mkoa na Kanda yenu, pelekeni timu kwa wananchi ili wajione na wa feel proud kuwa sehemu ya team (supporting yao ni key hapa),nidhamu ndani ya team ni muhimu kuanzia uongozi hadi cleaner wa team, kila mtu aheshimiwe na mwisho good luck
 
Mkuu, kilichoifanya Singida United ishuke na kupotea hakipo tena?

Vv
 
Sawa na hongereni kwa kupanda daraja, pia mawazo mengi yatakuja kipindi mkishaanza ligi kwa sasa watakaotoa mawazo ni wale waliokuwananyi bega kwa bega kuanzia chini.

Mimi binafsi nakiri sikuwafahamu sawa sawa nasubiri mkianza ligi nitakuwananyi pamoja kwa kila hatua hapo ndio tutaona mapungufu na ushauri juu ya nini mfanye au pongezi zetu.

Nawatakieni mafanikio mema katika msimu ujao.
 
View attachment 2263057

Watu wa Soka,

Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).

Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote tangu tukiwa tunaitwa DTB FC, wanahabari na wadau wengine kwa sapoti mliyotupatia. Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.

Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakanisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).

Simu/WhatsApp: +255 713 475715

Karibuni sana.
Hongereni Sana Kwa kufuzu mkuu. Nasevu hii namba ili niendelee kuifatila timu hii Kwa ukaribu. Naamini mtafika mbali mkuu kwa mipango, Nia, uthubutu na mungu alie mwema. Zaidi ya yote mmewekeza kwenye tasnia hii, vijana wanaostahili wapewe nafas. Nimepata bahati y kushhudia vipaji vikubwa mno katika mikoa hii singida na shinyanga! Tupange kuleta chachu na Revolution katika tasnia hii! Haiwezekan yanga tuchkue ubingwa Jana na wakongo kibao! Haimaanish vijana wa kitanzania hawapo!

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Pongezi kwa mshika kibubu wa kaya bila yeye mengi yasingewezekana.. Lakini pia pongezi kwako wewe kwa kuifanya kazi yako kwa weledi
 
Kikubwa ni kwamba msiwe bahiri kwenye issue ya usajiri........wekeni uongozi Bora usio na janja janja kwenye mambo ya usajili......huyu mtoto wa mjomba ....hairusiwi

Chamwisho

Msije kuwaiga MAKOLO.....mambo ya ushirikina .....mtapotea

KARIBUNI MJINI NBC PREMIER

Asante sana mkuu kwa nondo zako.

1. Usajili ni moja ya eneo tuko nalo makini sana. Tulifanya vizuri tukiwa Championship na likatuletea mafanikio, tutafanya vizuri Ligi Kuu. Na hilo lilifanikiwa kupitia uongozi makini.

2. Tuna viongozi weledi wa kazi (professionals) na hakuna ubabaishaji.

3. Tunaamini kwenye mikakati, mipango na uwezo wa wachezaji katika kupata matokeo.

Asante sana. Tumekaribia.
 
Mwendelezo uwe ni ule ule, msibweteke na kuijiona mmeshafanikiwa,as team jitahidini mno muwe na timu za under 17yrs&21yrs, muwekeze sana huko ili ziwe feeder kwa wachezaji wa first team, kuweni na scouts wazuri hasa ndani ya mkoa na Kanda yenu, pelekeni timu kwa wananchi ili wajione na wa feel proud kuwa sehemu ya team (supporting yao ni key hapa),nidhamu ndani ya team ni muhimu kuanzia uongozi hadi cleaner wa team, kila mtu aheshimiwe na mwisho good luck

Asante kwa maoni mazuri mkuu Nkanini,

Tunayachukua na tutayafanyia kazi.

Shukran.
 
View attachment 2263057

Watu wa Soka,

Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).

Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote tangu tukiwa tunaitwa DTB FC, wanahabari na wadau wengine kwa sapoti mliyotupatia. Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.

Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakanisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).

Simu/WhatsApp: +255 713 475715

Karibuni sana.
Nikupongeze kwa jambo jema hili la kutaka kupata moani ya wadau wa mchezo wa moira wa miguu.
Mie ningependekeza machache yafuatayo.

1) kuweni wazalendo...ni ujinga kujaza kikosi kizima kina jaa foreign players. Tunajua the man behind the team anapenda kuvaa scaff yenye rangi ya bendera yetu basi huo uzalendo usiishie kwenye scaff lekee yake bali uonyeshwe kwa vitendo kwa kuwaapa ajira vijana wa kitanzania.

2) acahane i na makocha wa kigeni. Tafuteni kocha mzawa mpeni timu na mumuamini. Zile story za mgeni mnalipa million ishiri i lakini kocha mzawa mnamkopa huu ni ujinga. So tafuteni makocha wazawa. Mfano mzuri ethiopia majuzi wamewapiga waarabu wakitumia wachezaji wanaocheza ligi yao na kocha mzawa.

3) ingieni na mentality kuwa ni ni project ya muda mrefu msitake pupa mapema mtakuwa frustrated. Build a club not a team.

Yangu ni hayo tuu.
 
Boresheni mapungufu yenu yaliyofanya mpaka mkashuka daraja

Then undeni scouting team nzuri za kutafuta vipaji cha wachezaji kwa maendeleo ya timu yenu

Epukeni sarakasi za ndugu wa Kariakoo.
 
View attachment 2263057

Watu wa Soka,

Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC).

Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki wetu wote tangu tukiwa tunaitwa DTB FC, wanahabari na wadau wengine kwa sapoti mliyotupatia. Tuendako ni kuzuri zaidi, tunaomba muendelee kutusapoti kwa nguvu zaidi.

Kupitia uzi huu maalum; nitapokea maoni, ushauri na mapendekezo yatakanisadia mimi binafsi katika kutekeleza majukumu yangu, lakini pia yatakayoisadia timu yetu kufanya vizuri, ikizingatiwa sisi ni wageni Ligi Kuu na malengo yetu ni kufanya vizuri kama tulivyokimbiza kule Daraja la Kwanza (Championship).

Simu/WhatsApp: +255 713 475715

Karibuni sana.
Ok ili mfanikiwe nendeni wote mkanywe kikombe cha babu Loliondo!
 
Hongereni Sana Kwa kufuzu mkuu. Nasevu hii namba ili niendelee kuifatila timu hii Kwa ukaribu. Naamini mtafika mbali mkuu kwa mipango, Nia, uthubutu na mungu alie mwema. Zaidi ya yote mmewekeza kwenye tasnia hii, vijana wanaostahili wapewe nafas. Nimepata bahati y kushhudia vipaji vikubwa mno katika mikoa hii singida na shinyanga! Tupange kuleta chachu na Revolution katika tasnia hii! Haiwezekan yanga tuchkue ubingwa Jana na wakongo kibao! Haimaanish vijana wa kitanzania hawapo!

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app

Asante sana mkuu. Maoni yako ni mazuri na yanatia nguvu. Tumeyapokea. Namba save tu. Karibu tuwasiliane pia kwa stori mbili tatu.
 
Back
Top Bottom