Maombi ya ushauri wa kufanya field ipi ni nzuri?

Melxcom991

Member
Aug 2, 2021
48
25
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi

1. Software developer
2. Database administator
3.Network engineering
4.security analyst
5. Programing

Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
 
Namba 1 iko vizuri, kama utajitoa muhanga kujifunza kweli kweli kwa vitendo, na sikutafuta alama kubwa ya makaratasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom