ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. technically

    Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
  2. Roving Journalist

    Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  3. L

    Ushauri wangu kwa Wakuu wapya wa Wilaya

    Ndugu zangu watanzania, Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ni heshima kubwa Sana na Imani kubwa Sana mliyopewa na mh Rais, mmepata heshima hiyo Kati ya...
  4. CM 1774858

    USHAURI: Kama umeteuliwa na Rais Samia au popote fanya haya. Utanishukuru na hautaishi tena kwa kuhami cheo

    Ukitaka udumu katika nafasi zozote za Uteuzi fanya haya Utanishukuru 1. Acha kufikiri Wewe ni bora kuliko wote waliochwa au unaowaongoza Kumbuka hata wewe Ulikuwa chini ya mtu in before na hicho cheo umeazimwa tu tena ni kwa muda mfupi 2. Acha kudharau watu utakaowakuta huko kwani ni hao ndio...
  5. Mshana Jr

    Ushauri wangu kwa bondia Shabani Kaoneka

    Naandika haya baada ya kuibukia huko Arusha kwa kiongozi mmoja wa dini mwenye utata mwingi akitafuta kuombewa kwakuwa anajihisi ana mikosi, mambo yake hayaendi na pengine kuna watu wamemsagia kunguni kiroho kiroho na kimwili. Kwenda kutafuta tiba (ya kiroho) kwa kiongozi wa kidini sio tatizo...
  6. K

    Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
  7. T

    Thread Maalum ya kutiana moyo na ushauri wa Kisaikolojia

    Hii thread ni maalumu kwa ajili ya kutiana moyo kupeana ushauri mbalimbali wa kisaikolojia, sosholojia, falsafa nk. Una jambo lolote kutoka chanzo chochote la kutusaidia wana JF unakaribishwa.
  8. M

    Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania? Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia hatua ya kuweka tiles; nimepambana kwa 5yrs na imefikia hapa. Sijaingia bado ila umeme nishaweka, bado...
  9. S

    Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  10. mrengo wa kushoto

    Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
  11. M

    Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa...
  12. Chizi Maarifa

    Ushauri wangu jinsi ya kuishi kwa Tahadhali mwezi huu. Usije ukafa

    Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga sana" " Upo handsome?" " Hey love" " Hujambo?" Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
  13. Sildenafil Citrate

    Ushauri wa lishe kwa wazee

    Wazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha maungio ya mwili na mifupa. Hivyo, mlo sahihi unaoweza kukidhi haya ya uhitaji huu...
  14. Sildenafil Citrate

    Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  15. Myahudi Jr II

    Leo napenda nitoe Ushauri (unaweza kuuchukua au Kuucha) kuhusu watoto

    Habari za Mwaka Mpya. Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao. NAKUSHAURI; kabla...
  16. MR.NOMA

    Dada kanifananisha au anataka nimtafune. Ushauri tafadhali

    Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa. Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
  17. Sildenafil Citrate

    Utaratibu wa lishe wakati wa matibabu ya Saratani

    Wagonjwa wa saratani hupitia changamoto kubwa ya ulaji inayotokana na maudhi ya dawa wanazotumia au tiba wanayopatiwa. Matibabu yao huzongwa na vipindi virefu vya kubadilika kwa hamu ya kula na uzito wa mwili. Baadhi ya tiba huwafanya wapoteze hamu ya kula hivyo kusababisha kupungua kwa uzito...
  18. Rangooo

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  19. Rangooo

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujaribu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha. Miongoni mwa maswali yangu ni je...
  20. Melancholic

    Nina umri wa miaka 30, naishi kwa kaka yangu, watu wananidharau naombeni ushauri

    Habarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana. Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu. Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es Salaam. Basi baada ya kuja huku alinipeleka kwa...
Back
Top Bottom