Ushauri asomee nini

Mrs minel

Member
Sep 3, 2014
64
53
Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
 
Akafanye diploma ya Agribusiness with Technology pale Mbeya University - MUST

D mbili za Geography na Biology zinampa nafasi
 
Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Mtu wako hayuko Stable Academically hivyo kama Mdau wa Elimu na Saikolojia nakushauri mpeleke katika Vocational Institutions ili akapate Ujuzi zaidi wa Kivitendo kwa Fani yoyote.

Kuna Wanafunzi wa aina Mbili wale ambao Kitaaluma ni Wazuri ila Kivitendo ( Kiufundi ) ni Wabovu na wale ambao Kiufundi ( Kivitendo ) ni Wazuri ila Kitaaluma ni Wabovu.

Mpeleke Ufundi au Fani zingine ambazo hazihitaji Masomo ya Darasani ( Ufaulu wa Kitaaluma ) na hutojutia na najua ipo Siku utakuja Kunishukuru MINOCYCLINE hapa hapa JamiiForums.

Mwisho nakuomba usiwe unamsema vibaya ( Kumsengenya ) kwa huo Ufaulu wake mbaya bali mtie Moyo, muonyeshe Upendo, Muamini na hii Kisaikolojia itamfanya kukaa sawa na kwa nafasi ya Pili utakayompa hatokuja Kukuangusha tena na atafanya vyema na hutoamini.

Kila la Kheri.
 
Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Hotel management au Information Technology ama Tourism

Nicheki whatsapp +255 626 752 501
 
Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
Cbe kutamfaa
 
Wapo wa cheo tu.Yaani ma Engineer lakini wanauza magodoro.
Swadakta unajua ukiitwa engineer au Dr hata hauna kazi unajisikia burudani na unapata cofindensi ya kufanya kazi zingine kama kuuza mitumba
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom