ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu hiki nachosomea

    Mimi kijana umri miaka 22, Nipo chuo mwaka wa pili, nasoma shahada ya kwanza ya ualimu sayansi biology na geography. Naomba ushauri kwa umri huu, na Hali ya ajira ya taifa letu ni fanye mambo yapi na nizingatie nini ili niweze kufika hatima bora ya maisha yangu na familia Yangu kwa ujumla...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wa Lecturer ananitaka kimapenzi

    Mke wa lecturer ananipenda lakini mimi simtaki, nifanye nini wakuu? Mara ya kwanza nilikwenda na Lecturer kwake, siku hiyo mke wake akaniomba namba hadi leo ananimbia niwe naye kimapenzi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakuu

    Naomba kuuliza kwenu wakuu, upi ni ushauri wenu kwa Mimi/ sisi vijana ambao tupo vyuo vikuu, juu ya kuwekeza kupitia pesa ya boom. Mfano mm apa had sasa nipo semester naingia semester ya nne nime save almost laki tano, Na natarajia mwaka wa tatu ni save million moja na nusu, Sasa wakuu nipo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni ushauri

    Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu. Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  6. mtz one

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
  7. Mwaisongo ZeDON

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kutoa ushauri kwa mtu asiyehitaji kushauriwa?

    Wakati mwingine tunapitia changamoto katika maisha ambazo zinaweza kuwa ngumu sana kushughulikia, hata wale walio karibu nasi wanaweza kutoa ushauri ambao haufai. Hata hivyo, tunapaswa kuwa wazi kwa ushauri wowote wa kujenga kutoka kwa marafiki na familia zetu na kujifunza kutoka kwao. Ni...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri juu ya Toyota Corona

    Naombeni ushauri kwa wale wanaozijua gari za Toyota corona, maana kuna mtu anaiuza na ni namba B, nipo kweny process ya kuilipia na kuifanyia matengenezo mdg mdg.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi

    Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity. Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold. It's very painful.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  11. G'taxi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa viongozi wa kitaifa

    Sina muda mwingi kueleza mengi Ili kukomesha suala la ushoga, usagaji na mambo machafu 1. Itungwe sheria ya dharula kupangua vipengele vya sheria katika sura ya haki za binadamu, watungiwe sheria Kali maana taswira ya haki za binadamu ililenga tamaduni za Magharibi zaidi pasi kuangalia nchi...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

    Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani. Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya. Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika. Tril 1.3 za foreign...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waweke platform za kupokea Ushauri

    Kutokana na mabadiliko ya teknolojia, Nashauri Mawaziri wote waweke Ukurasa (platform) hata kwenye website za wizara zao zenye sehemu mbili 1. Kupokea maoni 2. Kupokea malalamiko Na waziri mwenyewe au msadizi wake awe anapitia mwenyewe mara kwa mara ili apate ujumbe BILA filter Ukifuatilia...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niendelee kumfukuzia au nimpotezee?

    Kuna pisi niliielewa kitambo nikawa nimepromise kumtafuta. Akacheka tu. Sasa Leo nimetinga kazini kwake. Kuniona tu akawa haeleweki. Kiufupi kama akawa unstable kind of. Sasa nikamuita anagoma kuja. Nikamwomba namba. Anasema yupo kikazi siku nyingine. Nikasepa zangu. Kazini kwao kuna wapo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
  16. Masaki road

    JamiiForums Tanzania Nina Upper Second GPA, nisome Masters gani?

    Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

    Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote! Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Hope Wana Jf wote ni wazima, Niende kwenye mada moja kwa moja Hii ni siku ya Kumi na mbili tangu niache punyeto ila nipo kwenye mateso makuu mno naombeni ushauri; 01. Kwanza nahis kuumwa sana, nimeenda hospital nimepima Sina ugojwa 02. Mapaja yanauma vibaya sana 03. Nyege zinanimaliza apa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya ajira za ualimu

    Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA. Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv; 📌📌📌Mwalimu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nakusudia kufungua kesi ya madai dhidi ya Airtel Money Tanzania Ltd

    Habari za leo, Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money. Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu binafsi pesa ilitoka ila kwenye akaunti haikuingia. Nilipiga simu huduma kwa mteja wakasema kuwa wao...
Back
Top Bottom