ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial

    Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  2. Dr Matola PhD

    Hongera Sugu kwa kuwa msikivu, na mliyompa ushauri wangu kutoka JF mbarikiwe, ujumbe umefika

    Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari. Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
  3. Jooho

    Ushauri: Mke wangu anawasiliana na X wake

    !
  4. H

    Mwaka 2023 kuendelea uwe wa madiliko, tutoe ushauri, maoni na maelekezo kuliko kulaumu, kushambulia na kushambuliana

    Salaam great thinkers. Vurugu zimekuwa nyingi mno kwenye jukwaa au majukwaa.Minyukano mawe mkononi kulaumiana we unajua we hujui kitu maneno makali makali we mpumbavu tu hujui kitu mi ndo najua we hujatembea duniani ngumi mkononi mateke. Kifupi ni vurugu tupu majukwaani mwisho wa siku...
  5. Brain Kingdom

    Ushauri kabla mwaka haujaisha tuwashike mkono wenye shida, Upendo na Maombi mtambuka

    Katika hali ya kuishi umungu ndani yetu na kumuishi mungu wetu, Kwa rehema zake tukajae mioyo ya huruma na upendo, tukawashike mkono enye shida mfano wagonjwa hospitalini Kwa chochote kile, iwe pesa, iwe chakula etc. Sambamba na hilo pia tusiwasahau wajane, yatima na wasiojiweza kama wenye...
  6. I

    Kocha wa Morocco atoa ushauri kwa Afrika

    Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
  7. Komeo Lachuma

    Nimewapa ushauri shemeji na dada wasipofuata shauri yao wenyewe, mimi nimejivua

    Jana wamerudi wamelewa. Na dada anamfokea shemeji kama mtoto. Nikajiwa na busara kuwa hapa nisipokuwa makini tunaweza siku moja fukuzwa shemeji akichoka kiburi cha sister. Basi nikamtuma hausigel awaite. Baada ya saa moja wakaja.(walinikwaza sana yaani saa moja kutoka tu room kuja sebuleni)...
  8. C

    Ushauri: Nianze degree nyingine au niendelee masters then PhD

    Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo mengine maana nna interest na Mambo ya uhandisi, nawaza nianze diploma ya engineering then degree hasa...
  9. Beige

    Ninaombeni ushauri, kila ninachowaza kujikomboa kiuchumi sifiki mbali

    Hi wote, Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34. Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck. Hapa ni saa 9 usiku usingizi umekata nawaza tuu. Sina mtaji, sina chanzo chochote cha kupata hela niweze kufanya biashara...
  10. Mwachiluwi

    Nahisi harufu ya mlenda pori chooni

    Hellow guys Leo nimetoka gym muda sio mrefu nimefika nimeangalia tamthilia yangu pendwa two brothers. Baada ya kuisha nikaenda kuoga nimefika chooni nahisi harufu ya mlenda pori achana na mremba wa majani ya maboga ule mlenda pori unanukia balaa nikaona nikaoga nikamaliza Sasa hapa bado...
  11. K

    Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

    Nilishauri haya mwaka jana lakini naona kama Raisi anachukulia ukarimu wa Mbowe vibaya na kumweka kwenye wakati mgumu kwa kukaa mwaka mzima bila kuanza mchakato wa katiba. Jaji Mutungi hakuna mtu hata mmoja anamwamini !! Raisi Samia msifanye watu watoto ! Je Mnataka katiba au mnataka kufanya...
  12. Azizi Mussa

    Ushauri kuhusu ndoa kwa wanaowaza kuoa mke mmoja au kuoa mke zaidi ya mmoja. Uzoefu ni mwalimu mzuri

    Declaration of interest: ======== mleta mada hii ana wake watatu ambao ni marafikiri na wanashirikiana na kusaidiana kwa karibu sana. ======÷== Facts 15 kuhusu ndoa ukizitumia zitakusaidia. 1. Ndoa japo ya mke mmoja, kwa mwanaume ni kujivika majukumu. Kama haupendi majukumu usioe, kama...
  13. notyfeky

    Je, inawezekana kumhamishia Mwanafunzi kabla selection za Shule hazijatoka?

    Mtoto kafanya mtihani wa darasa la Saba mkoa X, kwa sasa amehamia kimakazi mkoa y, kafaulu kwenda kidato cha kwanza. Je, inawezekana kumhamishia huku aliko kabla selection za Schule hazijatoka? Yaani selection zikitoka apangiwe shule huku aliko badala ya kule alikomalizia drsa la 7? Naomba...
  14. Mributz

    Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
  15. Mr_Plan

    USHAURI: Ndoa inaelekea kunishinda sina namna, naumia sana

    Habari Wanajamvi Leo naomba niwasilishe mkasa wangu unaonisibu hivi Sasa katika Maisha Yangu....Ndoa...Ndoa..Ndoaaa.. Baada ya kusaka Life Miaka 2 Nyuma na kujihakikishia Uwezo wa Kula kuvaa, Malazi, Starehe Nikiwa na Miaka 24 tu Nikaamua kumtafuta Mwenza wa Kujenga nae Life.. Nikampata binti...
  16. Mganguzi

    Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

    Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho! Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu...
  17. T

    Ushauri: Gari ya milioni 60

    Wakuu, salama? Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60. Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri. Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake. Gari anayotaka ni ya kutembelea. Shukrani sana.
  18. B

    Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  19. Bundakwetu

    Asanteni JF kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua

    Watu wa Mungu nadhani wote mko salama paleni na majukumu yenu ya kila siku, kwa ambao mnachangamoto poleni na Mungu yu pamoja nanyi: Twende kwenye mada husika Jana nilileta hapa jukwaani changamoto ninayoipitia kwenye ndoa yangu, nashukuru kwa michango yenu imesaidia kunijenga na sasa nimeamua...
  20. N

    Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

    Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu...
Back
Top Bottom