ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mkuu Tanzania

    Ukipitia kesi nyingi za migogoro ya ardhi zinazoanzia kwenye ward tribunal (kwa sasa hazipo tena bali ni wasuluhishi) mpaka Court of Appeal na mwishowe kutupwa/kurudishwa kuanza upya either kwenye Mahakama ya nyumba na ardhi ya wilaya (DLHT) au kwenye Ward Tribunal (sasa haipo ni washauri)...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mdau

    Wakuu nina ndugu yangu Amesomea Ualimu Hisabati level ya Degree.G.P.A 3.3 mwajiliwa sekondari.Na amejiendeleza Sasa Ana masters ya Applied mathematics and computational science G.P.A 4.3 .Anaomba ushauri vyuoni hawezi kufundisha kwasababu ya G.P.A ya undergraduate.Je an anaweza kufundisha kwenye...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

    Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya Ushauri kwa Diamond haiwajibiki vema

    Kwanza nimpongeze Abdul Naseeb kujiita Diamond Platinum. Unapojinenea baraka ni dhahiri utazipata na kinyume chake. Sasa yeye kujiita majina ya vitu vya thamani sana, vya kipekee na vyenye mvuto imemfanya naye awe hivyo ktk jamii. Wapo waliojiita Dudubaya, Crazy GK, Masumbuko, Muhogo Mchungu...
  5. system hacker

    JamiiForums Tanzania Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  6. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya kozi ya kusoma

    Habari wakuu,mimi nilimaliza form 4 takriban miaka 11 iliyopita, nilifaulu vizuri tu,nikiwa na A zote PCB na PCM, nilichaguliwa kwenda advance shule nzuri tu lakini sikufanikiwa kuendelea na masomo kwa sababu kadhaa nikajishughulisha na biashara. Kwa sasa naona kiasi nina utulivu nataka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu nambeni ushauri wenu kwa kijana wangu

    Form four results DIV 3 YA 25 Ponts CIV =C HIST =D GEOG =D KISW =C ENG = D ELIMU/D/KIISLAM =C ARABIC = D BIO = D B/MATH= F Ajiandae kwa wapi? Ualimu anaweza kuchaguliwa?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kuhusu Mashine ya kusaga na kukoboa

    Wakuu habari, Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa? Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa...
  9. kedekede

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Wataalam nawasalimu, Moja Kwa Moja nakuja kwenye tatizo. Juzi alhamis mwanangu mdogo alirudi kutoka shule akiwa anachechemea kidole gumba hakigusi chini anakipandisha juu ya nyayo. Nilimuangalia nikaona kama ana mwiba umemchoma.Sikumtoa nikawaza nimuwekee utomvu wa papai Ili iwe rahisi kuutoa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri asomee nini

    Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa spika bungeni kuhusu udaktari wa heshima (PhD)

    USHAURI WA SPIKA BUNGENI KUHUSU UDAKTARI WA HESHIMA (PhD) Spika wa Bunge, Dr. Tulia Ackson ameshauri Taifa kufahamu utaratibu mzuri wa kutumika linapokuja suala la utoaji wa Degree za heshima kwa kuwa kuna wakati zinatolewa kama pipi na kutolewa kwa kila Mtu, jambo ambalo amesema halikubaliki...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Mwigulu kuwa makini sana kwenye mawasiliano

    Bashe ndiye waziri anayeongoza kwa kuwa na mawasiliano mazuri lakini Mwigulu mwana Ilboru mwenzangu nampa nafasi ya mwisho. Mwigulu ndugu yangu hii serikali ni ya viongozi wapole na wataratibu sana hasa Raisi Samia na Makamu wake. Makamu wake ambaye alikuwa waziri kama wewe na nafasi hiyo...
  13. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie namna ya kuwapa Askari elimu ya ushauri nasaha kuhusu VVU

    Kuna huu utaratibu wa baadhi ya watu hasa askari wengi wanaochukua wanawake ambao siyo wapenzi wala wake zao na kwenda nao kujipima VVU kwa kutumia hivi vipimo vya rapid tests kabla ya kukutana nao kimwili lakini kitu kibaya zaidi hawa askari hawana elimu ya namna ya kuongea na mtu endapo...
  14. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwenye hili ndugu zangu

    Mimi ni kijana nimemaliza chuo kikuu miaka kadhaa imepita sasa, Umri wangu ni miaka 31 (sina mke wala mtoto), baada ya kuangaika sana kutafuta ajira mpaka kufikia kukata tamaa atimaye Mungu wa mbinguni, muumba mbingu na nchi akaniona na kunipatia kisehemu kidogo cha kujishikiza (project flani...
  15. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nini nisome kulingana na matokeo haya

    Mimi nilianzia QT mwaka juzi na nimemaliza Kidato cha nne mwaka Jana na matokeo yangu ni lama ifuatavyo, Civ 'C, Hist 'C, Geo 'C, Eng 'D, Kisw 'C, Phy 'C, Chem 'B, Bio 'C, Math 'A. Umri wangu ni miaka 24 Naombeni ushauri kama nikienda chuo nikasomee nini chenye fursa? Na Kama nikienda...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamekuwa walalamishi bila kutoa ushauri

    Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu. Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa upana wake. Badala ya kulalama watoe suluhisho mfano 1. Je wanafikiri ruzuku iongezwe na pesa itoke...
  17. Step_Rocker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa New Programmers

    Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career. Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea

    Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi kuzoeleka wala kuhishi kwa mazoe. Huu mwezi umekuwa na kanuni na taratibu zake ila Mungu ni mwema...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
Back
Top Bottom