Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu

Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1
Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe kwa kila kitu sawa itakuwa tsh 100M. Kibaya zaidi % ya faida wanaweka zaidi ya 10% bado matakataka mengine unakuta inafika mpaka 40% ya gharama. Hivyo serikali iangalie hili
 
Hizo waweke tu hata 99.999%, walamba asali kwa sasa wanamudu chochote.

Watoe kodi kwenye bidhaa zetu walala hoi(nikisema wanyonge, chawa watataharuki) tuweze kumudu mlo kamili angalau mmoja kwa siku.

Yale magari used pia waangalie zike kodi, gari ta kununua 10m mnadani unalipia kodi 12m TZ, huu ni ujuha wa hali ya kisisiemu.
 
Back
Top Bottom