Habarin wadau
Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni...