Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!.
Wee Kijana Usiyekua na Ajira
Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha.
Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
Wakuu habari,
Kama kuna mtu anahitaji uboreshwaji au ushauri au kuwekewa features mpya kwenye website yako au app unicheki nasaidia vitu kama hivyo hata bure.
Kwa wale wanaohitaji kutengenezewa website mpya pia mnicheki tufanye kazi malipo sawa na bure tu.
WhatsApp 0681564388
Asante sana!
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina.
Kimapana na kimarefu huwezi.
Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi kwa furaha.
Vibamia ni neno la kuwadhoofisha vijana kifikra wasijikubali walazimishe kidole kizame...
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari
Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini watoto amebaki nao
Hakika
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727
Tanzania bara 88,365
Zanzibar 8,362
Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262.
Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%)
Tanzia Mkoloni
Kaka zangu na dada Zangu habari
Yule mwanamke amekuja jana getoni kwangu na ameniomba msamaha kwa kunichiti pia anashida ya laki Tano
Naomba ushauri nimpe na nimsamehe
Habari?
Niende moja kwa moja kwenye point...
Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk...
Kwa upande wa location nipo...
Leo bei ya hisa moja CRDB ni shilingi 1150 ni muendelezo wa kuporomoka kwa bei za hisa za CRDB kutoka 1900. Najua kuna watu wanajiuliza au wanategemea ishuke zaidi au wanataka kununua saivi wkitarajia pandisho la bei kwa hisa hivyo market cap yao kuongezeka individually.
Sasa swali linakuja...
Habari wanajukwaa
Naomba ushauri wenu hapa
Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala?
Hanscana: Kuoa!
Mtangazaji: Kwa nini?
Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa eti ni utamaduni toka enzi za mababu! Sasa kwani mimi ni babu?
Kama ni utamaduni maana yake...
Moja kwa moja .
Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa...
Kati ya IFM- Insurance and Risk Management
TIA- Business administration
CBE- Banking and Finance
Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason
Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
Ni siku chache zimepita tangu Kampeni za kutafuta Kura za Urais, Ubunge na Udiwani wanapokuwa katika majukwaa wanakuwa wanarudia sana Sera zao ambazo nyingi zimezungumzwa awali na watu wengine
Ushauri wangu wawe wabunifu zaidi watasikilizwa na hatimaye watapata kura za kutosha
Wakuu habari,
Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,
Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida
NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO...
Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa?
Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta.
Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua.
Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
Niaje? Mimi ni mwanaume, Nina miaka 28 ,Niko single kwa 7bu ya kuogopa majukumu na matatizo zaidi.
Kwa kweli siko vizuri kimaisha kuanzia pesa hadi familia.Niko singo na wala sina mpango wa kuwa na mtoto.
Kwa siku naingiza sh 3000 tu. Ni kazi ya kuajiriwa ,natumia masaa 8 kufanya kazi.
Sasa...
Wananchi wa malawi hii wiki tukikaa kizembe tutafaint na hizi bandika bandua, haya tupumzike kidogo.
Naandika kwa masikitiko, kwa mnaofanya mazoezi, naombeni mnijibu kwa experience na ushuhuda kabisa ili nijue niruke kichura au niache.
Mi umri hapa ushasogea mwenzenu (marahaba), viungo vya...
Nawashauri katika kubalance shobo na mambo mambo kwenye mahusiano.
Ikitokea mwanaume ameomba papuchi nawe lipiza omba mjiti/skinned pipe. Hapo hutasikia mwanaume akilalamika kuwa una tabia za hovyo au unajiuza.
Na mwanaume pia ukiombwa pesa nawe omba pesa. Ili mtu ajifunze kutoomba kitu...
Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu.
Nini mnabidi kufanya ?
Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.