Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

Ushauri kwa Crown FM hasa kipindi cha michezo asubuhi

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,289
Reaction score
17,313
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI

Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI mara nyingi nimekuwa.nikimfuatilia hapo anapokuwa anachangia mada hata kama muongoza kipindi akimwambia inatosha bado anaendelea kuongea na wala hajali taratibu anakula.mda wa wachambuz wengine na kufanya kipindi kuwa cha mtu mmoja pekee sijajua.kama.huwa mnakaa kikao.kabla.ya kipindi maana naona tabia hii imekuwa.inakomaa kwake japo n mchambuzi mzuri.sana

Mapenz kwa timu kubwa yaan SIMBA na YANGA hapa nitamzungumzia. Mchambuz HANCE RAFAEL inaonesha n mtu aloyechagua upande wake na mkisikiliza kwa.kina utagunduaa ana UYANGA ndan yake hilo.sio tatizo shida ipo pale.wanaposhindana na JEF LEA kwa hoja mara nyingi mwisho wao huwa sio mzuri kuna siku Jef alifikia.hata kitumia.lugha kali ambazo hazifai kwenye media. Naomba hilo.nalo mlitazame viongozi

RICH KIZA huyu naye hutumia lugha za matusi japo kwa.tafsida.nyepesi sana zenye mtazamo.wa ngono anaonekana ana.ugen fulan.na kaz.kaeni naye mfunzeni

JUMA AYO japo unaonekana kama.COMMED.Lakin ukwel.unapendezesha sana kipindi na unakichangamsha.sana na hata ukiwepo.kwenye kipindi huwa akiboi kabisa HONGERA

MWISHO endeleen kuwapa muda hao wachambuz wadogo kama ASHIRAF ,na MAGUNGA wanaonekana wanakitu ila muda mwingi mnawapa hao akina JEF.na HANCE ambao tayar wameshajikatia vipande vyao kwenye hiz timu.mbili nakiufanya uchambuz.wao uonekane.wa kitetea maslah ya timu.zao
 
Mpira
Kubeti
Pombe
Muziki
Ndio vipao mbele vya mtanzania
 
Back
Top Bottom