usalama barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Usalama Barabarani yakabidhi magari na pikipiki kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya

    Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama. Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kwa Sheria ya usalama barabarani hili limekaaje?

    Unaendesha gari kutoka point A kwenda point B. Point B ipo hatua chache kutoka iliko point C ambako kuna kizuizi cha Polisi. Ulipokaribia point B, ambapo utapaswa kukata kulia kwa kuwa ndiko unakoelekea hivyo hulazimiki kufika point C, na kabla hujaindicate kuwa unataka kukata kona kwenda...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini, watakiwa kufuata Sheria za Usalama barabarani

    Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao. Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

    Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria. Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

    Abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Mbeya wametakiwa kupaza sauti kwa madereva wasiofuata sheria za usalama barabarani ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Hayo yamesemwa Disemba 21, 2023 na Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  8. runtown

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  9. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mtatuua kwa presha

    Salam wanajukwaa, Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo? Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji...
  10. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Sticker za usalama barabarani ni nini?

    Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini? Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi? Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
  11. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani fuatilieni usalama wa abiria Noah za Mbinga - Litembo?

    Habari wanajukwaa. Leo nilikuwa nasafiri nilipofika stend nimeikuta Noah inapakia abiria. Ajabu ticket ina maelezo ya gari nyingine, lakini yenyewe plate namba nyingine. Tumetoka pale tupo 8 na ilipotoka stend ikapakia tena wawili kwenye buti, wengine wakasimama ndani na mwingine mbele kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Kamanda wa usalama barabarani apongezwe

    Iwe fundisho kwa madereva wengine.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hivi madereva huwa hamtuoni kwenye zebra tukisubiri kuvuka?

    Wakuu, Leo ni zamu ya madereva kuwa kwenye kiti cha moto:D. Medereva mnakwaza sana kwenye kipengele hiki. Mtu anaweza kukaa muda mrefu kwenye alama za kuvukia (zebra crossing) huku wenye vyombo vyao wanapita tu utafikiri hawaoni mtu. Tena ukiwa peke yako ndio kipengele zaidi, utakaa hapo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watembea kwa miguu acheni kujivuta kwenye zebra madereva sio malaika, mengi yanaweza kwenda vibaya

    Wakuu, Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing). Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda...
  15. Sajo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kujigeuza Mahakama wanafanya uonevu mkubwa kwa madereva

    Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani kusiwe na askari wa usalama barabarani. Ukiwauliza sababu ya wao kupenda hivyo watakwambia kwa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia ya vyombo baridi vya usafiri

    Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Taifa la Tanzania na Bara la Afrika lakini pia Dunia nzima ni Ajali za Barabarani pamoja na Foleni za Barabarani. Ajali za Barabarani husababisha aidha kupoteza roho za watu au kuharibu miili na akili za watu jambo ambalo halitakiwi kunyamaziwa hata kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele tunasubiri ajali mbaya itokee ndio hatua ichukuliwe?

    Habari wakuu, Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani. Kubwa zaidi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nimemgombeza askari wa usalama barabarani, wenzake wameniomba msamaha

    Ni kituo cha mabasi cha mawasiliano. Wako maaskari wengi lango wa kuingilia, kila gari linaloingia linasimamishwa na kuchukua hela kwa konda. Bahati nzuri nikashuhudia askari wa kike akipokea hela, nikamfuata na kumweleza nichokiona, akanijibu vibaya. Nikatishia kuchukulia hatua zaidi lakini...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi wa Mbezi waandamana kushinikiza kuwekewa vivuko vya usalama barabarani, DC aingilia kati

    Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea kivuko chenye usalama zaidi katika eneo hilo, kutokana na ajali za mara kwa mara, Mkuu wa Wilaya ya...
  20. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
Back
Top Bottom