Askari wa usalama barabarani mtatuua kwa presha

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
264
276
Salam wanajukwaa,

Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo?

Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji?

Humu njiani si wote watoto na wakijinga kama hao madereva wa pikipiki wanaofanya ujinga wao, wengine wagonjwa wa bp nasema hivi kwakuwa kero yake ni kubwa. Chukueni hatua.
 
Kuna mama mmoja mitaa ya Salasala amepata stroke kwa ajili ya mshituko baada ya boda kupiga hiyo baruti
 
Salam wanajukwaa,

Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo?

Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji?

Humu njiani si wote watoto na wakijinga kama hao madereva wa pikipiki wanaofanya ujinga wao, wengine wagonjwa wa bp nasema hivi kwakuwa kero yake ni kubwa. Chukueni hatua.
hii kitu hata mm inanikera kwelikweli! siku moja karibu nianguke nilisikia paaa nikajua jambazi kumbe pikipiki hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom